Umaarufu au?

mjukuu2009

Member
Jul 6, 2009
89
4
Habari wana JF,

Nimekuwa nikifatilia habari za viongozi na familia zao kwenye magazeti/radio mda mrefu lakini sijawai kusikia watoto wa hawa viongozi wakiongea au wakibishana na wanasiasa, waandishi au asasi za kijamii.

Hawa ni kama mtoto/watoto wa Benjamini Mkapa, Ali Mwinyi, Nyerere, Salim Ahmed Salim, Warioba, Sumaye, Msuya, Samweli Malecela, Karume na Kikwete.

Samani kama kwenye list nimeongeza majina au nimepunguza naomba muongeze wana jf.

Je hawa viongozi awana watoto au watoto wao wanatumia hekima sana kuliko hawa mtoto/watoto wa kiongozi/viongozi wetu waliopo?
 
Back
Top Bottom