Ulozi kwenye mahusiano...

Nakutafuta mkuu[emoji28]
 
yaani usiseme umeona aisee wewe nyamaza tu.
ila dunian kuna mambo acha kabisa.
Yaani haya mambo zamani nilikuwa siyaamini,ila sasa naamini yapo, sababu mimi mwenyewe nilimbamba demu wangu akinifanyia mambo ambayo naona sio vyema kuyaanika hapa, na niligundua kanipiga ULOZI siku nyingi saana,kwanza kabisa nikiwa mbali na nyumbani yaani nje ya mji, uume wangu husimama mpaka mishipa inauma mpaka nimpigie simu Demu wangu nisikie sauti yake ndio napata nafuu,amini usiamini mpaka leo hili tatizo halijapata ufumbuzi kwa hiyo gfsonwin naomba unitafutie suluhisho niko tayari kulipia huduma.
 
do they care wafikiri? wanachojua ni kumvuta wanayemkusudia acha kabisa. ukiskia nyumba ndogo inapika vizuri msosi wake mtamu ujue ndo nyama hizi.
gsfonwin na huko nyuma mko wangapi?,au ni wewe tu?,niko serious tafadhali.
 
haya mambo yapo aiseee kuna Brother wangu ni mganga wa vitabu....enzi zile tunakuwa hatujui kutongoza tunaenda kwake tu tunampa jina la huyo mpenzi na jina la mama ake anafanya mambo pale basi ndani ya siku 7 tu kama usipompata huyo mwanamke ww sio mzima.

Tena utagandwa mpaka utaona karaha mtoto wa watu anakuwa kama kichaa...

Nilikuja kuacha baada ya kuwafanyia hivyo mademu watatu kwa wakati mmoja si unajua jamaa kaka angu kwa hiyo nikimwambia tu anafanya hana neno basi wale mademu waliamia kwetu shule hawataki kwenda kwao hawataki hiyo ikawa bonge la msala mtaani maana mwisho wa siku wawili kati yao walitaka kujiua mmoja kwa sumu mwingine akataka kujitia kitanzi
 
Hapo kwenye "Unyayo" ndio sijakuelewa mkuu, unyao upi anaochukua na kuukaanga na kucha, nywele n.k na kuwa jivu?
 
Yaani hii inaonesha uzoefu wako wa kuchambua kinyesi,yaani umejuaje ndani ya kInyesi kuna maharagwe hayajasagika?.Haaaah we mwanamke USHINDWEE kwa DAMU YA YESUUUUUUUUU.
 
CHAI NYINGINE HII,TENA HII NAITA CHAI MAHARAGWEEEEEEEEEEEE,INANYAMBISHAAAAAAA.
 
Dah hii dunia kaz ipooo! Dhana ya uchawi kuna watu haifanyi kaz kabsaa mfano Mimi nikijaribu kufanya au kufanyiwa hua inakataa kabsaa. Kuna jamaa aliwahi nipeleka ili ujasiriamali uende vizr japo yy alifanikiwa Mimi ziligomaaa mambo yalienda kawaida tuuu japo yy alifanikiwa, pia hata sijawah ona dalili za kulogwa hata chembe japo wanafamilia wenzangu hudai kuna kitu sijui hivi sijui vileee
 
Hakuna uchawi unaoish siku zote. Ukiyaamini yatakupeleka kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…