It's not that i dont believe the presence of superstition my sister ila i feel difficulty to let myself beleive that love can be facilitated in the lieu of witchcraft practices ..Rate ya break ups na divorces bado ina nishawishi kuamini kuwa mapenzi ya kishirikina sio deal...
sasa my bro
SnowBall break ups and divorce ni outcomes za witchcraft, iko hivi ndoa yako hiyo unaipenda sana ila hauko alone unaye ipenda sasa ulonzi ukiingia ndo hapo kazi inakuwa ngumu. ngoja nikupe ushuhuda wa kweli
kuna mama mmoja ni jiran yangu, mumewe ni dalali wa mashamba huku dsm vijijin. sasa walianza life kt hali ngumu balaa. kwani walikuwa wanaish kwenye mapagale ya mabosi wakati wa ujenzi u can imagine.mume akaadvance kwa ushauri wa mkewe wakafikia hatua ya kununua mshamba ya wazawa kwa bei nafuua kisha wakatyakata viwanja wakauza kweli maisha yalisonga sana kwa kiwango kikubwa sana.
miaka kama 3 hivi iliyopita walianza kujenga nyumba, ila kwakua bwana anahela akaanza mambo ya vishenshude basi akatoka na bar medi. lol........huyu dada alifikia hatua ya kumloga huyu baba aachane na mkewe. siku moja wakiwa kwenye pagale bado hawajamaliza nyumba yao mke aliskia harufu mbaya sana ya kinyesi basi akatoka nje mida ya saa 11:30 alfajairi akakutana na bonge la kinyes cha binadamu kimewekwa juu dirishani na mlangoni na pia kiatu cha mumewe alichokua amevaa akakivulia nje usiku alipoingia kulala kikawa kimetapakaa kinyesi.
kosa alilofanya huyu mama ni kuosha kile kiatu na kufuta kinyesi kilichotapakaa. lolest yaani hapo hapo mumewe alianza kumuona huyu mama kama mavi siriaz nakuambia. yaani akiingia ndani anamuona mkewe kama ananuka mavi, hali ikaenda tena dada alikuwa mjamzito. mume akahama nyumbani na nguo zake akaenda kwa yule kidosho wake.
hakumjua mkewe kwa chumvi wala sukari, na mumewe akiamabiwa chochote anakuja juu kama moto. ili kaa hadi huyu mamama lipata kichaa cha mimba kwa msongo wa mawazo. baadae ndo majiran na ndugu kuhangaika nae kwenye maombi mumewe ndo kurudi nyumbani. hapo ndo siri ilipobumburuka manake kidosho ilibidi avujishe siri kwa mwenzie wanayeuza nae baa na huyu ndo kusema hapa kuna a, b,c. na hata waganga wa kienyeji husema kabisa ukitaka kuamin siku mzuzzkie mmoja umuulize atakupa mchapo wote.
sasa kiukweli kuna wanaume ambao hupakwa mavi pasi kujua, hupakwa mayai viza acha kabisa ama hutiwa nuksi milele unaonekana kisirani si ndoan tu hata kazini na kwa majirani yaani achana na binadamu bana. binafsi simwamini mtu na wala simpi mtu nafasi ya kunizoea sana.