Ahsante kwa swali zuri,
BED means Bachelor of education, huyu anakuwa na somo moja tu la kufundishia pamoja na courses za education. Wakati anayesoma Baed, Bachelor of arts with education anakuwa na masomo mawili ya kifundishia mfn. Kisw na Hist.
Kwa upande wangu naona mtu anaesoma baed ana uwanja mpana zaidi hasa kwny soko la ajira cause ana masomo mawili mkonon..
Wanasema mtu wa BED ni ngumu kubadili profession yake huko mbele ya safari so once a teacher, a teacher forever..
Watu wa baed badae wanakuja kuwa maafisa elimu etc etc, bt mwsho wa siku choice ni yako mwnyew kuamua..