Mmh. Kwani tatz ni nn, ikiwa kila mwaka wanaingia watu wapya? Inamaana duce wanachaguliwa watu waaina hyo tuu. Sitaki kuamini mkuu!Sikutanii mkuu, ilo nmelithibitisha, kuna mmoja ameyaona maji ya baharin kwa mara ya kwanza baada ya kufika 3rd year
Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.
Dar es salaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani IringaIringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.
MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month
MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,
Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)
Download hii attachment mkuu. Majina ya UDSM, DUCE, na MUCE huwekwa sehemu moja
wakuu mbona majina hayafunguki yote!?tatizo lipo wap!Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.
Dar es salaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani IringaIringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.
MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month
MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,
Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)
Download hii attachment mkuu. Majina ya UDSM, DUCE, na MUCE huwekwa sehemu moja
Umesema uulizwe chochote juu ya duce. Nami nimekuuliza , wewe ndio msemaji wa duce? Toa jibu si umesrma uulizwe chochote, ?Acha ujinga, soma hiyo post between the lines sio unakurupuka tuu, umetumwa nini?
umesema ukweli. kabisa hasa wale wanaosoma science pale balaa sanaSikutanii mkuu, ilo nmelithibitisha, kuna mmoja ameyaona maji ya baharin kwa mara ya kwanza baada ya kufika 3rd year
Umesema uulizwe chochote juu ya duce. Nami nimekuuliza , wewe ndio msemaji wa duce? Toa jibu si umesrma uulizwe chochote, ?
Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
Mmh. Kwani tatz ni nn, ikiwa kila mwaka wanaingia watu wapya? Inamaana duce wanachaguliwa watu waaina hyo tuu. Sitaki kuamini mkuu!
Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
ndio ukweli nenda vimbweta vya beach,library na peasantMimi mtazamaji tuu mkuu..I choose to stand in neither sides.
na vile vya beachUkifika vimbweta vya library ,mdegree , peasant , magazetini kote kumejaa semester nzima . Yaan watu hawa relax mkuu. Hiv ndio usomaji gan ule
pamoja na kusoma kote huko bado nakumbuka dokta flani alikamata nusu ya darasa l letuUkifika vimbweta vya library ,mdegree , peasant , magazetini kote kumejaa semester nzima . Yaan watu hawa relax mkuu. Hiv ndio usomaji gan ule
Kuna tatzo gan kwny hyo sentence mkuu, mbona unatokwa povu?I'm continuous student at DUCE
Daaah! Kama nyie ndo walimu basi hakuna chochote hapo. Kulikua na haja gani ya kuandika Kingereza ambacho hukijui vizuri? Ungeandika tu Kiswahili.