Download hii attachment mkuu. Majina ya UDSM, DUCE, na MUCE huwekwa sehemu mojaTunaomba link ya majina ya duce
Wewe ndio msemaji wa duce?Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.
Dar es alaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani IringaIringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.
MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month
MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,
Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)
Wewe jibu kama msomi,sasa mapovu yanakutoka ivyo kama umemeza omo!!Kwasababu wew ulisoma UDOMndo maana yaan wew mim kitambulisho changu kimeandikwa UDSM sasa wew unataka niijiiteDUCE WAKATI SIVYO na hicho chuo unachosema kinaitwa kwasaa JKN MLIMANI maana yake ni JULIUS KAMBARAGE NYERERE MLIMANI
Mkuu nadhni bado una kasumba ya kudhani kuwa ni lazima kila unachokisomea basi mwsho wa siku uje uajiriwe, maisha yamechange sana. Watu wanawaza nje ya box nowadays.hivi bado mnachgua hyo sector.....kwann hamuulizi waliowatangulia!mm nlisomea finance jamaa zangu wakaenda ualimu yaliyowakuta nadhan mengne mmeshayaskia!!!
Una maanisha nini mkuu?
Me nadhani ni dhana tu iliyojengeka miongoni mwa watu, lakini kiuhalisia hali iko sawa na vyuo vingine tuu, kama una lengo la kutengeneza matokeo ya aina fulani lazma u_work hard, sio duce pekee hata Oxford university iko hivyo. Otherwise labda utuambie km kuna research imefanyika kuthibitisha hilo.Muda wote wao ni watu wa kukaa na madesa tu
24 /7
kwanini wanafunzi wa duce wanajiita ni wana udsm?
Well said mkuu. Maandshi yako yamenivutia.kila mtu ana kitu alichopangiwa na mwenyazi MUNGU ,naenda nikiwa na roho safi kabisa najua riziki ya mtu kama ipo ni ipo tu.
waliopangiwa DUCE na wanaoendelea DUCE tuwe na moyo mkuu tukiamini tutashinda
Me nadhani ni dhana tu iliyojengeka miongoni mwa watu, lakini kiuhalisia hali iko sawa na vyuo vingine tuu, kama una lengo la kutengeneza matokeo ya aina fulani lazma u_work hard, sio duce pekee hata Oxford university iko hivyo. Otherwise labda utuambie km kuna research imefanyika kuthibitisha hilo.
Hahah. Mkuu!Kwa observation yangu nmegundua wengi wanapenda zaidi kupiga msuli. mfani Kuna mtu anaanza first year had 3rd year hajawahi kufika posta , amejitahid sana kaenda kkoo kununua smartphone au pc wengne ninawajua kabisa