SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
ah nawe umezidi bwana.mtu kabip tu we unapiga kabisa???acha hayo mambo bwana kha!sasa humu si utadanganywa sana kama ukiwa hivyo!JF bwana kuna watu wanafurahisha kweliHellow! jf
Huyu binti nilikuwa nawasiliana nae kwanza kwa pm. hadi tukapanga nae niende kumtembelea zanzibar. Jmos iloisha nikafunga safari hadi bandalini. Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandali ya zenj, Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "HIVI UMEENDA KWELI? MWENZIO NAKAA ARUSHA. YALE NI MAMBO YA JF BANA FIGGANIGGA, MI NKAJUA WANTANIA ATI!. POLE SANA".Akamalizia na kicheko!. Nimfanyeje huyu jaman?. Mia