Uliyechaguliwa kozi ya dental therapey

Uliyechaguliwa kozi ya dental therapey

Mi naomba nikuulize lkn halihusian na waliochaguliwa lkn linahusiana na kinywa...nin dawa ya kuacha kunuka mdomo ata baada ya kupga mswaki (kilomolomo)
 
Mi naomba nikuulize lkn halihusian na waliochaguliwa lkn linahusiana na kinywa...nin dawa ya kuacha kunuka mdomo ata baada ya kupga mswaki (kilomolomo)
Tatizo lako linaitwa halithosis linasababishwa na ugaga/calculas

Vyema ukutane na dentist aweze kukufanyia tiba sahihi na atakuelekeza namna ya kutunza kinywa chako
 
Back
Top Bottom