Uliyataka Mwenyewe

Naona madogo wanafurahia ip_d wakat dingi anackilizia maumivu ya kuwanunulia madogo ip_d.
 
Jamani nimepotelewa na Mbwa wangu! Mara ya mwisho nilikua naye maeneo ya Arusha mitaa ya Sakina viwanja vya La Piano Club saa 3 za usiku. Atayemuona tafadhali naomba aniPM ili nimpe contact zangu zawadi nikama nilivyoidhinisha hapo juu na picha yake ni kama mnavyoiona na alikua amevaa hivi hivi!
 

Attachments

  • Lost Dog.jpg
    24.1 KB · Views: 26
jamani mbona haya ni mateso na uonevu kwa wanyama?
pendeni wanyama jameni...nimesikitika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…