Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,969
Baada ya kuumizwa na kuachwa kisa pesa Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa - JamiiForums
sasa nimepata mwanamke ambaye naona kwa kiasi kikubwa ananipenda ameniambia ananipenda mimi jinsi nilivyo hata kama hakuna pesa tutatafuta wote ata pesa huwa haniombi tumekuwa kwa wiki tatu mpaka sasa naona anafaa kuwa mke pia
Story zake nyingi yeye huwa kuhusu maisha huwa ananambia anapenda kuzifikia ndoto zake
Lakini kingine nachokifikiria zaidi hasa kaniambia bado ni bikra kwahiyo yeye hichi kitu cha mahusiano analiona ni kitu kigeni pia muoga wa haya mambo ana miaka 22
Bado sijamuomba mapenzi nampa muda ila natamani sana hii bikra niitoe mimi mwenyew ila hofu yangu ni hii kutokana na uoga wake sijui naweza nikafanikiwa vipi kumtoa
mana asije ikatokea ghafla tu jamaa mwingine kapita kamshawishi akamtoa yeye mana hivi vitu nilishawahi kuviona
mnisaidie wajuzi kutoa bikra mlifanikiwa vipi