Sio wote n waongo mkuu, hii ishu ya kulia miaka miwili na nusu ni kweli kabisa yn hapa tuu huyu mrembo To yeye amenitonesha kidonda Mpaka Nimeanza kumkumbuka lishangazi langu atafanya nilie Tena π
π Leo nitampigia video call najua atashtuka sanaβa, huu uzi umenipa nguvu. Nimejiona mkosaji sababu na yy hakutegemea ingekuwa hivo na tungefika mbali.!