sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Yaani unaanza kazi na mshahara wa take home ya mil. 1.4!! Kudadeki!! Yaani ni karibia mara 3 ya mshahara wa kada nyingine, mfano ualimu!!Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.
Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika kupata ajira, kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.
Mshahara wangu wa kwanza kuupata ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (kwa sasa ni mhasibu cpa)
Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, ππ kichwa kinawaka moto.
Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.
Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,
Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)
Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.
Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika
Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa
Vingine nmesahau
Vingine nimesahau.
Ngoja nikumbushie tu...!Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.
Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika kupata ajira, kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.
Mshahara wangu wa kwanza kuupata ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (kwa sasa ni mhasibu cpa)
Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, ππ kichwa kinawaka moto.
Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.
Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,
Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)
Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.
Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika
Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa
Vingine nmesahau
Vingine nimesahau.
Inawezekana yupo kampuni binafsi...serikalini huo ni mshahara wa senior.Mshara wako wa kwanza ni Mara 4 ya mshahara wangu wa kwanza kwa kada yangu ya ualimu
Mkuu take it easy, Mshahara unaotumika ni ule unaobaki baada ya makato ππMshahara 1,400,000/=
Home ulituma 500,000/=
Wewe ukabakiwa na 900,000/=
Swali langu huo mshahara wako ulikuwa hauna makato yoyote kama bima ya afya, NSSf, HESLB, PAYE.. ??
Unashangaa 1.4 M baada ya makato?? ππ...Kwa fani nliyosomea ya uhasibu na hata nyingine, ukiingia haya makundiSawa afisa wa jeshi.
Si huwa mnapata take home 1.5m au imeongezeka?
[emoji1][emoji1]Unashangaa nini...Kwa fani nliyosomea ya uhasibu na hata nyingine, ukiingia haya makundi kuanza na mshahara wa 1.5 baada ya makato ni kawaida tu
Lecturer wa chuo
wenye cpa serikalini
NGO's
Kampuni private kubwa kama mitandao ya simu, safari za mbugani, n.k
Jeshini (naskia ila sina uhakika)
Mashirika makubwa yabserikali kama BOT, TRA, BANDARI, NSSF, TANAPA, n.k huko nako fresh.
Halafu nakukumbusha tu, hawa bajaji wanaoingiza laki 1 hadi laki na nusu kwa siku sio wa kuwaachia chenchi [emoji16]
Hiyo ndoo JF bwana?Nakumbuka baada ya kumaliza chuo 2015 nlikuwa na mategemeo makubwa sana ya ajira ila hali haikuwa kama nlivyowaza.
Nlipitia msoto wa kama mwaka mzima hivi na 2016 nilibahatika , kiukweli ilikuwa ni bahati + vi connection.
Mshahara wangu wa kwanza kuupata baada ya makato ulikuwa Milioni 1 na laki 4 na elf kadhaa, nikiwa kama msaidizi wa hesabu (nlikuwa na degree ya uhasibu bila cpa, sikuweza kujiita muhasibu)
Basi nakumbuka ndio kwanza nina miaka 23 hapo, [emoji16][emoji16] kichwa kinawaka moto.
Nakumbuka kitu cha kwanza nlituma la laki 5 nyumbani wakafrahi, sasa nikabakiwa na laki 9.
Kwa mtu mwengine ni pesa ya nyanya ila kwangu ilikuwa nyingi sana wakuu,
Nilinunua vinguo kama za laki 1 na nusu hivi, suruali tatu na mashati kadhaa, ni mtumbani (msinicheke)
Nlihamia geto jipya nikalipia miezi mitatu , 300 ikakatika.
Unga wa kutosha, mchele wa kutosha, dagaa za kutosha, kiasi kikakatika
Dem wangu nlikuwaga hadi namuonea aibu maana alinichapa kagepu, yeye alianza kutengeneza hizi keki alikuwa na wateja wengi tu alikuwa hakosi faida ya 20 kwa siku, kuna kipindi hadi alikuwa ananipa, koukweli kama mwanaume ilikuwa inaniuma, Weekend tulienda nje kidogo ya town kuspend laki 2 ikasepa
Vingine nmesahau
Vingine nimesahau.
Nasoma mishahara ya watu napasuka moyoNdugu yangu yeyote unayesoma uzi huu, usifadhaike kwa Mshahara wako mdogo wa less than 700k take home.
Ukute hata wanaotoa ushuhuda hawana ajira.. Hivyo isikuumize moyo. Endelea kupambana.
Anyway, hongereni watumishi.
Jeshini ni nyoko... Usiguse kabisaaa kuna watu take home na malupulupu yote 4mUnashangaa 1.4 M baada ya makato?? ππ...Kwa fani nliyosomea ya uhasibu na hata nyingine, ukiingia haya makundi
watu wanavuta zaidi ya 1.5M baada ya makato
Lecturer wa chuo
wenye cpa serikalini
NGO's
Kampuni private kubwa kama mitandao ya simu, safari za mbugani, n.k
Jeshini (naskia ila sina uhakika)
Mashirika makubwa yabserikali kama BOT, TRA, BANDARI, NSSF, TANAPA, n.k huko nako fresh.
Halafu nakukumbusha tu, hawa bajaji wanaoingiza laki 1 hadi laki na nusu kwa siku sio wa kuwaachia chenchi π