Ulitulisha majani wewe

Awamu yao hawa jamaa walikuwa wababe sana
 
Hata kama ni majani mtakuwa ndege ya rais ni lazima hivi hiyo ndege ipo wapi
 
Huyu ndio Basil Pesambili Kalamba

kuna Andrew chenge

na wa kuitwa Daniel Yona hawa ni wazee wa dili huyo Yona ni nuksi
 
Hawa ni noma,kuanzia Mr Clean,mpaka mabalozi wa nyumba kumi ni noma,ila mshahara ulikuwa haupandi na hakuna mfumuko wa bei za bidhaa,saivi sasa
 
ha ha ha ha eti mtakula nyasi ndege ya raisi itanunuliwa ... pumbavu wakaleta limepack tu hata services ni shida ... kutuingiza hasara tu mfyuuuuuu
 
Hata sasa hivi tunakuka manyas/majani japo hatujatangaziwa nini kimefanyika. utawala huu ndo nyasi tumekula live bila chenga.
Hata kama ni majani mtakuwa ndege ya rais ni lazima hivi hiyo ndege ipo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…