ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,745 Dec 10, 2012 #21 Hata mchicha ulianza kama mbuyu.
kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 Dec 10, 2012 #22 Yote Tisa !! kukosea maneno ilikua inajulikana Kama kuchapia!! Sasa kuna Jamaa alikua anamcheka mwenzie amechapia akacheka " HAHAHAHAAA UMEPACHIA" kumbe nae kachapia!!
Yote Tisa !! kukosea maneno ilikua inajulikana Kama kuchapia!! Sasa kuna Jamaa alikua anamcheka mwenzie amechapia akacheka " HAHAHAHAAA UMEPACHIA" kumbe nae kachapia!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,270 Reaction score 829,296 Dec 10, 2012 Thread starter #23 jrutta said: Mara moja kwa mbaya sio mwaka Click to expand... mara mbaya kwa mwaka co moja
H HardMartin JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 308 Reaction score 113 Dec 11, 2012 #24 mshana jr said: mara mbaya kwa mwaka co moja Click to expand... oooh!! toka nje bwana
P prince pepe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 215 Reaction score 29 Dec 11, 2012 #25 Wanabadilishana dog kwa mbwa badala ya wanabadilishana mbwa kwa mbuzi
J JAMSHID Member Joined Oct 5, 2012 Posts 32 Reaction score 3 Dec 15, 2012 #26 Nimemkuta hayupo Baadala ya sijamkuta
Mussa kiraka Senior Member Joined Mar 4, 2012 Posts 106 Reaction score 13 Dec 15, 2012 #27 niletee chips kaki na mishkuku sita na ucsahau panta fashion ya baridiiiiii fanya fasta muhujumu njaa inanyuma sana
niletee chips kaki na mishkuku sita na ucsahau panta fashion ya baridiiiiii fanya fasta muhujumu njaa inanyuma sana
M myasis Member Joined Apr 14, 2012 Posts 80 Reaction score 29 Dec 16, 2012 #28 alimaanisha amecheka mpaka meno yote thelasini na mbili nje
mtamanyali JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,161 Reaction score 616 Dec 16, 2012 #29 Mussa kiraka said: niletee chips kaki na mishkuku sita na ucsahau panta fashion ya baridiiiiii fanya fasta muhujumu njaa inanyuma sana Click to expand... ha ha ha ha hii imezidi sana nahisi umechakachua.
Mussa kiraka said: niletee chips kaki na mishkuku sita na ucsahau panta fashion ya baridiiiiii fanya fasta muhujumu njaa inanyuma sana Click to expand... ha ha ha ha hii imezidi sana nahisi umechakachua.
kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Dec 16, 2012 #30 Matokeo yashatundikwa intanesi(internet)
J jnnade Member Joined Oct 19, 2010 Posts 43 Reaction score 22 Dec 16, 2012 #31 1. Shusha madirisha (akimaanisha Shusha pazia). 2. Nenda ITV (akimaanisha badilisha channel to ITV)
J jonta Senior Member Joined Dec 18, 2010 Posts 110 Reaction score 56 Dec 16, 2012 #32 Simba mwenda nyama ndo mla pole
ThePromise JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 210 Reaction score 50 Dec 17, 2012 #33 Kifaranga kimeliwa na kuku
M Mabel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,290 Reaction score 717 Dec 17, 2012 #34 Nakuahidi mwisho wa gauni nikipokea mwezi nitakununulia mshahara
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,270 Reaction score 829,296 Dec 17, 2012 Thread starter #35 nyumba silipi na kodi sitoki ukitaka nenda huko huko mahakamani tutapambana polisi
M mzeelapa JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 1,124 Reaction score 408 Dec 20, 2012 #36 Hii nimeisikia leo wala sio utani. Mtangazaji wa Cloud FM ( Jeff) katika kipindi kinachohusu michezo alichapia kwa kusema "...golikipa wa makocha..." lakini alijisahihisha na kusema "kocha wa magolikipa.."
Hii nimeisikia leo wala sio utani. Mtangazaji wa Cloud FM ( Jeff) katika kipindi kinachohusu michezo alichapia kwa kusema "...golikipa wa makocha..." lakini alijisahihisha na kusema "kocha wa magolikipa.."
Z zhi you nhi Member Joined Dec 16, 2012 Posts 60 Reaction score 18 Dec 21, 2012 #37 prince pepe said: Wanabadilishana dog kwa mbwa badala ya wanabadilishana mbwa kwa mbuzi Click to expand... Nipe ratiba ya timetable yako badala ya nipe timetable yko
prince pepe said: Wanabadilishana dog kwa mbwa badala ya wanabadilishana mbwa kwa mbuzi Click to expand... Nipe ratiba ya timetable yako badala ya nipe timetable yko
Enrique Gomez Member Joined Jul 23, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Dec 21, 2012 #38 Shika mabonde mbele kuna breki bana
Zeddicus JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 627 Reaction score 537 Dec 21, 2012 #39 myasis said: Yaani umecheka mpaka meno yote thelasini na nje mbili Click to expand... Hahaaaa mkuu umeniacha hoi hahaaaaa
myasis said: Yaani umecheka mpaka meno yote thelasini na nje mbili Click to expand... Hahaaaa mkuu umeniacha hoi hahaaaaa
A ARICH Member Joined Dec 3, 2012 Posts 40 Reaction score 2 Dec 22, 2012 #40 kinyoba said: Yote Tisa !! kukosea maneno ilikua inajulikana Kama kuchapia!! Sasa kuna Jamaa alikua anamcheka mwenzie amechapia akacheka " HAHAHAHAAA UMEPACHIA" kumbe nae kachapia!! Click to expand... Niimpenda mkuu
kinyoba said: Yote Tisa !! kukosea maneno ilikua inajulikana Kama kuchapia!! Sasa kuna Jamaa alikua anamcheka mwenzie amechapia akacheka " HAHAHAHAAA UMEPACHIA" kumbe nae kachapia!! Click to expand... Niimpenda mkuu