Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,940 Dec 3, 2012 #1 mara nyingi tumejikuta tukichapia au kuongea kinyume bila wenyewe kutaraji au pia tumewasikia wengine !cheki hii hapa natumai una yako. Gongo la mbali na mboto wapi ubungo?
mara nyingi tumejikuta tukichapia au kuongea kinyume bila wenyewe kutaraji au pia tumewasikia wengine !cheki hii hapa natumai una yako. Gongo la mbali na mboto wapi ubungo?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,940 Dec 4, 2012 Thread starter #2 lete maji ninywe kikombe
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,940 Dec 4, 2012 Thread starter #4 lete embe tumenye kisu
J john hotsam da1 JF-Expert Member Feb 4, 2012 396 78 Dec 5, 2012 #6 .....ngamia hawezi kupinta kwenye tundu la sindano.....
C Chabo JF-Expert Member Jul 20, 2011 1,083 1,135 Dec 5, 2012 #7 kariambali na gongo la koo wapi mboto?
M MAMENGAZI JF-Expert Member Dec 31, 2010 780 128 Dec 5, 2012 #9 "ingiza gari kwenye gallon" hii imenikuta asubuhi ya leo lol
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,940 Dec 5, 2012 Thread starter #11 lete hiyo kadi tuweke bahasha
M myasis Member Apr 14, 2012 80 29 Dec 5, 2012 #12 Yaani umecheka mpaka meno yote thelasini na nje mbili
Nambukwa JF-Expert Member Aug 5, 2009 243 146 Dec 5, 2012 #13 MAMENGAZI said: "ingiza gari kwenye gallon" hii imenikuta asubuhi ya leo lol Click to expand... hiyo n noma
MAMENGAZI said: "ingiza gari kwenye gallon" hii imenikuta asubuhi ya leo lol Click to expand... hiyo n noma
Mfarisayomtata JF-Expert Member Feb 2, 2012 474 188 Dec 5, 2012 #14 umbembe umekatika! Tehe! tehe! tehe!
ndendi JF-Expert Member Nov 29, 2012 625 180 Dec 6, 2012 #15 dereva nishikie gari yangu nipande nyengo.
Nyleptha Member Jun 19, 2012 69 47 Dec 10, 2012 #20 bustani iko nyumba ya nyuma! (badala ya nyuma ya nyumba)!