Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

mimi ilishawahi kunitokea demu nilikuwa nae yaani akawawa ananisumbua as if mimi ni tegemezi sana kwake hata ukitaka gemu mpaka apate hamu yeye...akanipiga chini baada ya miaka akanifuata nataka turudikama zamani ....anasimulia nilimpelekesha plus kumla mara moko na kumtema napishana nae kashaanza kudanga kumbe alikuwa anataka kupoozea njaa zake kwangu....kulamzigo jiepushe akome..
 
Well said bro! Nakuunga mkono mkuu, kwenye maisha siku zote hutakiwi kua second choice au second option ya mtu hasa kwenye mahusiano,, ni kweli unaweza kua unampenda mtu lakini lazima watu wajifunze kua na limit na conditions ,, sio kisa unampenda mtu basi ndo unaenda kichwa kichwa bila kushirikisha ubongo..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaaa
 
Wewe hujaona wenye chura ukaoa??
 
Kama upo singo muoe utojutia ila kama upo kwenye mahusiano achana nao wanawake wa ivo uwaga wazuri sana ila uwe mkoroni uwe mbabe kwake mtaishi vzr sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…