Ulishawai kuoa kimasihara

Tatizo we muaminifu sana, la sivyo yasingekukuta. Lazima ingetokea ukawagonganisha au usingekubali awe anakuja kwako kwa kuogopa misala
 
ΒΌ uoa kwa kupanga

ΒΎ ni kwa namna hii na nyinginezo
 
Haya mambo bila kufosi kama hivi hayaendi. Nitaoa nitaoa muda unazidi kwendaπŸ˜€.
Wanawake siku hizi ndio zao ukimuonyesha tu kwako ndilo linalofuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…