pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Fact KabisaUzi huu utajaaa maoni ya walioolewa kimasihara. Naomba title ya uzi ibadilike, kwako mleta uzi. Wanao oa kimasihara ni wachache sana ila wala olewa kimasihara naona ni wengi mno.
kama umeoa huyo dada kacheza vizuri sana karata zake, maaana tuna ndugu zetu mapenzi ya kijinga yamewafanya wawe masingo mazas, sasa kama umeoa hapo basi sista kafanya bonge moja la uwekezaji, sasa tulizana na mkeo, kashaonesha ni mjanja, atakuwa mjanja hadi kwenye mafanikio ya kimaisha. sasa jifanye kumletea drama utaenda kuokota mwanamke mshamba, halafu mjini pagumu sana kuishi na wanawake waliozubaaWakuu habarini!
Katika maisha yangu sikutegemea kuoa kama nilivyofanya kwa sasa.
Kisa kipo hivyo,kuna Dada mmoja nilianza nae mahusiano kama MTU na mpenzi wake,yeye alikuwa amepanga chumba chake na mimi nilikuwa nimepanga chumba changu.
Ikawa kila siku tunabadilisha vyumba Mara kwake Mara kwangu.
Muda ulivyozidi kwenda nikaona uboya huu kwenda kulala kwake,nikaamua kukacha mazoea ya kwenda kwake kulala.
Yeye akawa anakuja kwangu kila siku ila kwake anapafunga,ikawa kama kawaida
Tulidumu kwa muda wa miezi 6.
Demu akaanza kuleta nguo zake ndani kama masihara hivi,kila akija lazima aache nguo cha ajabu akawa akitoka kazini kwao anafikia kwangu kuoga kula kila kitu kwangu.
Nikajaribu kumwambia mbona kwako haukai?akasema ametokea kupapenda tu kwangu.
Basi Mara akaomba funguo moja ..nikaona sio kesi ngoja nimpatie.
Mwezi uliopita demu kaniambia ana mimba yangu hivyo inabidi tuoane.nilijaribu kumwambia sina mpango wa kuoa sasahivi labda ilo tupange badae..
Mpaka sasahivi mimeoa bila kutarajia wala sikupanga kabisa kuoa mwaka huu ..
Karibuni wakuu tushee mawazo.je wezangu mulioaje?
Usijali mkuu pia kuachana mtaachana kimasihara, ndio maisha hayo.Wakuu habarini!

Mkuu kwao wanajua lakini!?Wakuu habarini!

Bado mkuu!ulishapata kazi mtoa mada?
Hamna mkuu hapa nishachanganyikiwa!Mkuu kwao wanajua lakini!?