Habari yako inatafta nn kwenye jukwaa hili?Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki,ila sometimes we meet with wrong friends.
Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala
Pole Sana mkuu ndo watu walivoYeah. Mpaka leo hii sihitaji marafiki.
Nilikuwa na rafiki ambaye kipindi maisha yake hayajakaa sawa nilikuwa nampiga tafu katika mambo mengi mfano hela ya kununua umeme, maji, nauli za hapa na pale, pesa ya chakula.
Mkuu, urafiki hauletagi maendeleo Zaid ya kudindimiza stak kusema Sana japo yangu n makubwa kinyama "usimuanimi mtu!!Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki,ila sometimes we meet with wrong friends.
Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu anakula analala.
Mmmhh hatari sanaSana tu..ilifikia stage na kuzika alinizika
Kukuzika!!! Ili akucontroll et?Sana tu..ilifikia stage na kuzika alinizika
Sitamsahau A. Msangi.Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki,ila sometimes we meet with wrong friends.
Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu anakula analala.
Issue ikaja ni pale nilipotaka kufungua biashara na kumuomba ushauri kuhusiana na biashara ambayo nilitaka kufungua coz naamini ushauri ni muhimu kwa binadamu and ukizingatia ni rafiki wa kushibana, cha achabu alikuwa ananitilia uzito mara "oooh iyo biashara kwa sasa hailipi" Yani bluh bluh zilikuwa nyingi sana mpaka mtaji nikaula kiutani utani.
Baada ya mwezi mmoja huwezi amini jamaa angau uyo tajwa hapo juu akafungua biashara hiyo hiyo ambayo alikuwa ananiletea resistance. From that day, nkasema siwezi muamimi mtu tena, kuna kausemi "but no one hurt your feelings as bad as close friend/family" sasa nimeamini. Ukitaka fanya jambo fanya usimuangalie mtu wala ushauri wake ukakuyumbisha.
Mwingine mwenye ushuhuda wa kunafikiwa tafadhari tupeane experience.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shenzi huyo rafiki ana roho ya kichawiYeah. Mpaka leo hii sihitaji marafiki.
Nilikuwa na rafiki ambaye kipindi maisha yake hayajakaa sawa nilikuwa nampiga tafu katika mambo mengi mfano hela ya kununua umeme, maji, nauli za hapa na pale, pesa ya chakula.
Kadhalika, kuna wakati nilikuwa namkuta yupo na demu ila unakuta hawana hata mia ndani so nikawa nawabariki na vijisenti vya hapa na pale nikijua ni rafiki mwema kumbe ni nyoka.
Ila ghafla tu jamaa alikuja kunifanyia unafiki wa hali ya juu ambao sitokuja kuusahau wala kumsamehe. Unafiki wenyewe ni kwamba aliharibu katika maeneo yangu ambayo nilikuwa nikipata riziki bila kujali wema wangu kwake wala kujali kwamba nina kundi kubwa la watu wanaonitegemea.
Kiukweli niliumia sana mpaka Leo hii huwa naumia nikikumbuka unafiki wake.
HakikaNdio maana wanasema kikulacho ki nguoni mwako!!!!
Afufukeje sasa na wewe...mbona unataka kuharibu uzi wa watu?[emoji849]Nimemkumbuka MAGU sijui akifufuka Leo Sami atajitetea nini?