Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

Hivi wanawake wanaotetea urafiki wao na wanaume,kwenye ndoa zao wapo comfortable waume zao kuwa na marafiki wa kike walioshibana?

Women have girlfriends and boyfriends, if you are not f****ng her then you are her girlfriend, na wanawake wengi humu wameadmit kuwaona marafiki zao wa kiume kama mashosti zao tu, isn't that an insult to your manhood?
 
Anademu wake nasii mmoja mie ndio namfichia siri zake nakutunga story za uongoo.
Hajawahi kunichezea nawala hakudhamiria
Wewe ulionaje ile hali? Huhisi kuwa kwa hali ile kuna kitu unakikosa kutoka kwake?
 
Mkuu nashangaa wanawake wanasifia kabisa kuona mwanaume ambaye si ndugu yake kalala naye usiku kucha bila hata kumgusa popote. Hakuna tusi mbaya kwa uanaume kama hilo! Aisee hiyo sifa inipitie mbali katika jina la Yesu! Yes nasema jina la Yesu wala sijakosea.
 
I had such kind of friend.
 
She was expecting something from u
 
Wewe mumeo akiwa na urafiki wa karibu sana na mwanamke mwingine utakuwa comfortable? I mean, watoane out bila wewe kujali, wasafiri pamoja bila uwepo wako, kifupi wawe na ukaribu ambao hutajali hata kidogo, can you?

Urafiki unaousema hapa ni wa me na ke kabla yoyote hajaingia kwenye ndoa, mmoja akishaingia kwenye ndoa that friendship has to be reduced to almost "no friendship", unless hunipendi mume.
 
Duu
 
Mkuu it's very possible to keep the friendship even after marriage, Muhimu Ni respect na understanding on both sides. Kama mke anaisecurities zake lazima ataona rafiki Ni threat na rafiki akimzarau mke just because amekuta wakiwa friends already hiyo pia Ni mbaya.

Waliokuwa wanafatilia keeping up with the Kardashians, Kim anarafiki yake wa kiume Jonathan cheban tangu wakiwa wadogo, kaolewa ndoa ya pili, ya tatu anayodivorce na Kanye Jonathan is still there and Always very close.
 
Umeulizwa wewe usitolee mifano watu wengine
 
Aisee huyu mtu niliwahi kuwa naye. Yani ilikuwa ni furaha kumwona na yeye kuniona. Kila linalonihusu wa Kwanza kujua yeye na vivyo hivo Kwa upande wake linalomtatiza lazima aje kupata Amani kwangu. Kuna wakati alikuwa akija analia lakini baada ya kuongea naye anatulia na kupata amani kabisa anasahau yaliyomsibu

Ila shida ilitokea baada ya kumaliza shule kila mtu akaenda njia yake yy akaenda chuo fulani bagamoyo kazi ikabaki mi ndo namtafuta tu na wala sikuchoka kwa jinsi nilivyokuwa namkubali. Nikawa namtafuta kama kawaida ili anisaidie yanayonisibu akawa anadai yuko busy tuu kila siku. Hali hiyo iliendelea hadi nikaona hana mpango wa kunidumisha ktk maisha yake.

Sikuwahi kuwaza kumpoteza Yule dada katika maisha yangu na kila liliponijia wazo hilo nilikuwa naumia sana Kwa hiyo nilikazana sana kumtafuta lakini nilikosa ushirikiano wake nikaanza kuushawishi moyo ukubali kwamba nimempoteza...nakumbuka siku Ile nililia sana kwamba nampoteza mtu muhimu kwangu sijasahau hadi leo!

Huenda leo ningekuwa mtu wa huzuni sana kama nisingepata mke rafiki! Namshukuru Mungu alinijalia kumpata mke ambaye ni rafiki yangu haswa na hivyo sijawahi kumkumbuka.
 
Ulikuwa unampenda
 
Umeulizwa wewe usitolee mifano watu wengine
Na ndio Maana nimemwambia it's very possible. I don't mind my hubby to keep the friendship na rafiki ambaye nimemkuta nae, whether it's a she or he. As long as there is mutual respect
 
Umemkuta mumeo na rafiki wa kike au unaongea nadharia tu? Let's be realistic jamani, hii kitu ni ngumu ku-maintain watu wakiingia kwenye ndoa. Kila mtu anatamani kuwa na mtu wake peke yako...
 
We are on different pages.

I have my male friend and we respect each other. He as his relationship and I have mine.

What could be so wrong with that, that your insecurities come out so hard?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…