Wgr30
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 1,770
- 2,375
Amang'ana ghenyu!
Niende moja kwa moja kwenye maada
Kama swali linavyouliza hapo juu, ilishawahi kukutokea harafu ukajuta kufanya hivo!!
Hapa kuna vitu viwili au zaidi vya kushare wewe utaona utuambie kipi,
1 Kumuunganisha mtu akapata kazi harafu akaharibu kazi ya mtu harafu lawama/mzigo ukabeba wewe.
2 Yupo bado kazini lakini lawama unazopata unaomba hata wamuachishe lakini mwenye kazi ni rafiki yako anahisi utamkosea heshima
Binafsi naomba kuongelea hiyo ya pili
Aisee kuna Dada hapa mtaani alikuwa hana kazi akaniambia anahitaji kazi nikamuahidi kulifanyia kazi swala lake.
Jumapili moja nikampigia rafiki yangu kuhusu nafasi ya kazi jamaa akaniambia niende na yule dada jumatatu, kweli nikafanya hivo
Dada akapata kazi na anendelea mpaka leo ila baada ya mda fulani jamaa akanipigia kunilalamikia kuhusu dada anadai Dada ni mzito sana, mbishi mvuvi balaa.
Siku moja nikamtembelea kazini kwake ahiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha
Niliona aibu mwenyewe Dada ni mzito sana hakumbuki kabisa kipindi hana kazi hali ilikuaje kufika kazini asubuhi ndo hawezi kabisa.
Na wewe kama una kisa cha share nasi