Ulishawahi kutumia hizi

Ulishawahi kutumia hizi

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
p1300978.jpg
 
Hivyo ni vizuri sana .tunavitumia sana kaskazini
 
Yeah, chakula kina kuwa sooo tamu na kama ni nazi basi inakolea had raaha
 
Vyungu daaaah vikipikiwa makande utafrahiiii upate na parachichi sasa ubwabwa uje nyuma kwa utamuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom