Ulishawahi kusingiziwa kitu?

Pole mkuu
 
ahhaaaaaaaa
 
Kuna kipindi walinisingizia ETI DUME ZIMA NAVAA SHANGA KIUNONI....ilinitesa sana ,,,lakini pia niliwanasa sana WAREMBO waliokuja kuhakikisha kama kweli nina SHANGA KIUNONI AU LAA......nusu niwamalize mtaa mzima,, kuanzia VISICHANA hadi wake za watu,,wote walitaka kuhakikisha ni kweli? Mwisho walikuta SI KWELI na kila aliyepita kwangu HAKUTOKA....ilibidi nihame mtaa maana INGIA TOKA ZA MADEMU mjengoni kwangu zilizidi nikapewa NOTICE NIHAME....hakika sitosahau...KUMBE WAKATI MWINGINE KICK husaidia kuwa JUU....
 
Kusingiziwa inauma sana!
Mimi baada ya kumpa ujauzito binti mmoja hapa mbeya, kuna mama alikuja home na kuzusha kua aliwahi kutufumania tukia chaka moja ivi eti tukamkimbia, kitu ambacho sio kweli kabisa na wala sijawahi kukutana nae nikiwa na huyo binti, iliniuma sana
nilitamani nmpige makofi
 
Mie nina hasira sana watu hadi leo wananisingizia eti EDWARD LOWASA "ni mtu wangu" ila basi tu, itabidi sasa nifanye kweli
Wewe ndiye shusho? Eti hili linaukweli leiguanan alikuwa kwake?
 
Niliwahi kusingiziwa navuta bhangi shuleni ila kiukweli sikuwahi kuvuta..

Kuona wananiandama nikaamua kuvuta.!!!
 
Zamani nilipokuwa kijana kusingiziwa kuwa natoka na mtu ambae sijawahi hata kuongea nae ilikuwa kawaida sana hivi watu sijui huwa wanapata faida gani kuzushia wenzao
 
Mimi ni karibuni tulikua kanda ya ziwa kikazi, tukiwa kule ucku tumekaa bar kuna demu mmoja alikua anatuhumia kumbe supervisor wangu na yy anamtaka mimi bila kujua, nikamzingua yule demu nikaondoka nae, kesho take asbh tunaenda field naona boss kavuta mdomo, badae dereva wetu akaniambia jamaa anamind jana nilimpiga kanzu tokea cku hiyo hadi tumerud mjini ni bifu tu, sasa amefika ofisini ameandikia bonge la ripoti full uongo hapa j3 natakiwa nipeleke maelezo ya kujitetea!
 
daah nilisingiziwa mimba na binti mmoja hivi kumbe hakuwa na mimba, mwisho wa siku anakuja kuniambia sikuwa na mimba wala nini nilitaka kukukomoa tu, nile pesa zako
 
daah nilisingiziwa mimba na binti mmoja hivi kumbe hakuwa na mimba, mwisho wa siku anakuja kuniambia sikuwa na mimba wala nini nilitaka kukukomoa tu, nile pesa zako
Daah..pole sana Mkuu hii ya mimba nahisi hatar Mimi nishawahii liwaa pesaa aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…