Ulishawahi kupanda daladala ya madereva wanaokimbizana?

Unatuaibisha member wa jf wote tuna tumia gari why huna gari lako

Huwa nawahurumia Watu wa hivyo.
Huko japani kwenyewe (muingizaji mkubwa) magari yanakozaliwa watu wanatumia commuter buses sembuse huku pangu pakavu.?!
Tena taarifa za kitafiti zinaonesha faida za kutumia usafiri wa umma ni nyingi kuliko binafsi.
 
KWa wenyeji wa mbeya, bara bara ya Mbeya mjini tukuyu mpka kyela. Ukiwa kwenye costa unaomba pasitokee costa ingine nyuma na dereva akaistukia, alooooohh. Wenyewe wanaita "mwanga".

Aloooohh. Acha kabisa
 
Kuna kipindi niliwahi kupanda daladala kutoka mawasiliano hadi kunduchi nilitumia dakika zisizopungua kumi kutokea simu 2000 hadi mtongani.
 
Akili mnemba? Kwa akili za grok kule Twitter akikabidhiwa daladala atatukana abiria wote na atawamwaga..!!
AI it like computer system does have feeling or think is just programm,when you recommand it to specific function it does.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…