Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Pole sana,nunua hata Ist!Kuna muda ni vyema kuyakubali mabadiliko ili kileta tija na ushindani katika sekta zetu za maisha,wakati mwengine akili ya binadamu ipo based on benefits bila ya kucompare athari ya hatua anazozichukua.
Jana nimepanda daladala ya kutoka mbezi - k/koo mida flani ya saa 7, kulikuwa na gari 2 aina ya costal zinakimbizana sijui changamoto hua ni aboria au kuwahi kituoni.
Mpaka nafika to my destination kichwa na kiuno vilikua kwenye maumivu makubwa,nashindwa kufahamu hawa jamaa wanawaza nini hasa wawapo barabarani.
Nimejikuta nakumbuka akili mnemba naona ni ahueni waingie kwenye soko la daladala ili kudhibigi ujinga huu wa akili za kibinadamu.
walamsiki
mfukoPole sana,nunua hata Ist!
hawakuelewi mkuuMkuu nadhani ulipaswa kuwakemea wasifanye ivyoi
ajali ni nyingi kwa ujinga waoNakumbuka niliomba kushuka wakasema mimi mshamba wa vijijini, nikalazimisha nikashuka, kilometer kama moja hivi, nilikuta wamechafuka vumbi na damu, na dereva kondakta hawapo. Nilimshukuru Mungu Sana.
Mfuko kipengere nacho!mfuko
ni changamoto kwa madereva wetuDuuh maswala ya daladala kukimbizana sio poa.
Almanusura tuvamie gari la taka, mfpyuuuuu zake anataka kutuletea mushkeli asubuhi asubuhi hata chai hatujanywa.
jamaa hawaelewiHatari .
Ungemuonya dereva wa gari ulopanda
Kabisa Mkuuajali ni nyingi kwa ujinga wao
niliongea kawaida tu,no one supported meWee inategemea uliongea ukionesha kujiamini au kama mtu mwenye kutaka hisani.
Wee mimi ningemzingua.