Ulishampiga Mwanamke? Imeniuma sana...

Wewe kiumbe unapata wapi ujasiri wa kumuomba mwanamke msahama?ndio mana hawaishi kutuzarau mpe dudu huyu yeye ndio akuombe msamaha wewe allaaaahhhhh..
Alaf unavyo anza likizo ungempa kofi jingine
 
Kwa sasa na wewe funga mdomo wako, inatosha umeshajaribu. Hivi huwa unaangaika hivi ukimkosea mkeo!!!

Tulia nyamaza endelea na kazi, nenda kampe raha mke wako, huyo ni hatari unayotafuta kujiletea matatizo na utajuta na kuvunja familia yako.
 
Kwa sasa na wewe funga mdomo wako, inatosha umeshakaribu. Hivi huwa unaangaika hivi ukimkosea mkeo!!!

Tulia nyamaza endelea na kazi, nenda kampe raha mke wako, huyo ni hatari unayotafuta kujiletea matatizo na utajuta na kuvunja familia yako.
Asante kwa ushauri...
 
Anakutaka huyo, na usishangae siku ya kukusamehe akakupa na papuchi..
Mkuu kwa kifupi uliona mbali, siku nitaleta mrejesho wa namna nilivyomtafuna.
Anyway alishaondoka na Tanzania kabisa, huwa tunawasiliana kwenye social media.
Yuko zake huko milima ya Alps akipika vyakula.
 
Tukisema wanawake humo maeneo ya kazi wanakwenda kuleta tafrani na uharibifu inaonekana kama vile sisi ni haters wa wanawake na hatupendi wapate kazi.

Wanawake kwenye maofisi ndio source ya kushuka kwa productivity na kuongezeka michezo ya rushwa na uharibifu wa taratibu za kiofisi. Wakiwapo eneo la kazi wanapenda sana mambo ya makundi utadhani mpo shuleni secondary.

Wanapenda kusengenyana na kuanzisha bifu ambazo hazina kichwa wala miguu. Kwa mfano kisa cha mleta uzi unaweza jionea mwanamke kaanzisha tu ugomvi ambao unaweza kuweka rehani ajira yake na kwa mwenzake.

Ukichunguza kwa kina utagundua humu maofisini tokea wanawake wameanza kuingia imeanza kuwa na changamoto za kiutendaji kwa wanaume sababu ya tabia zao za kike na za ubinafsi.

Mwanamke mshahara wako ukiingia anakuuliza utadhani yeye ni mkeo. Ukimkata au kumshushua anakuwekea bifu na kukutengenezea zengwe na wafanyakazi wengine. Sasa ndio ukute hapo ofisini kupo na wale wanaume wenye kupenda sifa kwa wanawake a.k.a Ma'simp ndio utaelewa ninachokisema.

Migogoro mingi inaweza kuepukwa kwa kuwaweka wanawake mbali na maeneo serious ya kazi. Wanawake wachache sana wana uwezo wa kublend na wanaume eneo la kazi na kuwa msaada au tegemeo. Wengi huwa ni mizigo na ni changamoto kwa wanaume na wanawake wenzao.

Mimi nikipewa nafasi ya kutengeneza kikosi kazi au team yangu wanawake na Ma'simp watanisamehe sana. Nitawakata live na nitawakataa bila kuwaficha na nitawapa sababu kama kukasirika na kunichukia wacha wanichukie.
 
Umekutana na narcissistic spoiled brat. Na amekukuta wewe mlokole. Mimi mtu akichukua kitu changu sijali kama ni mwanamke au mtoto wa nani, na exercise equal rights and lefts.
 
Yani job less wakiona huu ujinga wanataman ufukuzwe kazi tuu sababu unaleta tabia za shule ya msingi
 
Mimi kila siku namshukuru Mungu kwa kutoniumba Mwanamke. Spes Mea In Deo Est.
 
Pole
1. Kwa kuzoea kuchekea wadada wa ofisini
2. Kushindwa kuwa na self control
 
Ndo
Ndo maana wazee wetu walioa wanawke wa kukaa nyumban tu kutunza familia...huko makazini ni vituko +kuharibiana kazi kama ulivyoeleza hapo juu
 
Ulishamdhibiti vya kutosha, hukuwa na haja ya kumuomba msamaha.
Jenga nidhamu na heshima, na asiyetaka kukuheshimu mfanye akuogope!
 
Yalisha nikuta, mtu ana maindi uki enda lunch na wengine 😂😆
 

Unampigaje a mfanyakazi mwenzio? Kosa kubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…