Ulishampiga Mwanamke? Imeniuma sana...

Mbona unatoa siri za ofisi any way nataka kukwambia nilielewa matatizo yenu na issue yote na kusingekuwa na tatizo kama ungenambia wanawake tuishi nao kwa akili hata mimi boss wako nimepitia sana mambo hayo, tuendelee naajukumu.
Ha ha ha ha sawa mkuu.
 
Kama ni mimi sijui ningemfanyaje,Nadhani ningepelekwa polisi.Alidhani ule ukaribu ni kuwa unamtaka!mimi nikikasirika huwa sifikirii kabisa,nakuwa sioni mbele,nakuwa na kichwa kibovu,nakuwa sitizami nilichokishika mkononi nakitupa,Mungu wangu aniepushe na situation kama hizo.Jambo la mwisho nakuomba unipe namba zake pliz namuhitaji maana nilileta uzi humu natafuta mke,anaweza kunifaa.
 
Teh teh teh....
 

Mama mmoja mkurya jirani yangu

Hapo alikua ametoka kusukwa mabutu kama juzi tu hata kichwa kulikua hakijapoa

Likatokea la kutokea na mumewe dahhhhhhhhhhh

Ilikua ni kupigwa makofi mabuti anaenda mpaka chini anainuliwa kwa kuvutwa nywele
Mpaka juu mara anagongeshwa paji la uso kwenye mti mtama chiniiii vutwa nywele Mpaka juu makofi dahhhhhhhhhhh. So sad

Cc Smart911
 
It seems una hisia na huyo binti
 
we sijui ni msomi wa wapi? nyinyi ndio mnaosababisha acacia waendelee kutuibia yaani kama hata hili hujui jinsi ya kulimaliza, mifupa ya ngili#####
 

Inasikitisha sana mahondaw wangu... mwanamke hata awe na mdomo vipi, wanaume hatupaswi kuwapiga... ndiyo mlivyoumbwa tu hivyo...
 
Aisee mkuu kwanza nakupongeza kwa ujasili wako wa kuomba msamaha. Lakini umenikera pia kuomba huo msamaha. For two weeks na cable yangu dah. Aisee ningempasua.
 
We jamaa hauko romantic demu anakutaka kwa style hiyo we hujui unakuwa na inferior complex..unapandisha maasira
 
Wala usimtongoze,mazoea gani hayo ya kifichiana kitu hadi wiki inaisha huo sio utani.
Kwanini ujishushe thamani kwa kutembea na huyo binti,ushamuomba msamaha its over.Labda kama ulikua una taka.
 
Aisee hata kuusoma Uzi tu na mm nimepata hasira kishenzi hebu mwamishie ofisini kwetu huku alete hayo mazoea walahi kabisa nafukuzwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…