Ulishampiga Mwanamke? Imeniuma sana...

Mkuu afrolife, nimekuelewa.
Ila E ni mtu ambaye hawezi kabisa kuspeak behind my back.
I know her, nilichokiona hakupenda kabisa mimi kumzoea huyu dada
 
Mbona unatoa siri za ofisi any way nataka kukwambia nilielewa matatizo yenu na issue yote na kusingekuwa na tatizo kama ungenambia wanawake tuishi nao kwa akili hata mimi boss wako nimepitia sana mambo hayo, tuendelee naajukumu.
 
Aisee ningekuwa harsh kwa faida yake, angejuta na kujirekebisha..kosa kubwa sana Ku entertain mazoea yaliovuka mpaka na subordinate

Kosa lingine ni kuomba msamaha kwa kosa alilosababisha mpaka litokee, kwa principle zangu ukinisababisha nifanye kosa matokeo yake hayanihusu. Kwanza kuomba omba msamaha bila sababu za msingi ni dalili za udhaifu, some can take advantage out of it

Punguza mazoea na wafanyakazi wenzako, na usiruhusu mtu akujue kihivyo
 
kweli umebalikiwa huruma mkuu unampga m2 kwa ujinga wake then unamwomba .samaha apo ilitakiwa yeye ndo akuombe msamaha mkuu
 
Wee jamaa unatuangusha sana aisee, yaani sikutegemea uzi uishie hapo ulipoishia.
Siku nyingine uje hapa useme kama umeshamgegeda!
 
HAKUNA KITENDO CHA AIBU KAMA MWANAUME KUMPIGA AU KUPIGANA NA MWANAMKE.INAKUSHUSHIA HADHI YA UANAUME WAKO..
 
Binafsi naona huyo mdada alidhani mazoea yenu yatafika kwenye kutongozana, naona ukiendelea kuomba msamaha mtajikuta mnamegana.

Achana naye.
 

Wewe ni boya kwanza umempiga mtu ofisini ingekuwa vema usingempiga sasa unaombaomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu
 
kumpiga ulifanya makosa..... anyway ishatokea and u cant redoo!! nakuonea huruma una mke..... huyo dem anakuta, na ukionja tuu imekula kwako.... atakuganda ofcn..... then atahakikisha mpaka bi mkubwa anajua....kuwa makini nae sana.... it better kuongea na boss wako,,, kama unajua anakuelewa na kukuamini,,, mwambie ukweli wote... ahamishwe kitengo usiwe nae karibu...do that quickly.... nina experience na ishu kama yako.
 
Kupiga ni jambo la kawa tu. Ila usipende kuomba msamaha. Kikubwa vunga jifanye umemchukia. Temana nae hata miaka kama kumi usimsalimie ila ingekuwa vizuri zaidi kufanya hivo kabla hujaomba omba msamaha kama demu. Dume gani unaomba msamaha hata hao wengine nao wanaweza kujua kuwa wew ni hovyo. Kawaida ya dume harudi nyume, wewe ungechapa makofi ya nguvu unavunga mpaka atambue kosa lake au kama asipotambua uzeeni mnakumbashana kama historia. Na ukiendelea kuomba omba hio misamaha yako utakuja kula papuchi iwe agano la msamaha. Chunga sana. Kuwa makinikia
 
Huu Uzi Ni mpya, Na mrefu..Why usitafute alivyojibu Kifupi Ndo umquote...Jaribu kutumia hekima.Vimaneno vyenyewe umejibu Kifupi kututeremshia liuziiii lote
Kweli kabisa watu wengine sijui wakoje.....ila atakuwa amekuelewa.
 
Dume Zima Kabisa Na Familia Yako Umevimba Na Mahasira Yako Kama Jogoo La Sikukuu Kushindana Na Mwanamke Pumbavu Umenikera Sana Hawa Viumbe Ukiwajulia Haina Haja Ya Kutumia Nguvu Ni Kucheza Na Akili Zao Tu Mwanaume Unashindana Na Kiumbe Dhaifu Kama Hicho Siku Nyingine Jitahidi Sana Kuzishinda Hasira Utakuja Kuishia Pabaya Yangu Ni Hayo Kama Nimekukera Samahani Ila Umeniudhi Wewe Kijana Kupiga Mwanamke
 
Uyo mwanamke anakuzarau kutokana na hisia ulizomjengea,..kwa ushauri punguza ukaribu sana nae,..hasa angalia kazi,yatakayo tokea ni mabaya zaidi,..wew ndo unatakiwa uwe kontroller,hakikisha unamkazia kwa kila kitu,bado utoto wa lasaba b mwingi,
 
Samahani bana...
 
Mkuu, ninasimamia maadili na pia swala zina la social affair hapo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…