Oooh sawaKwa nini? Sio kila mtu anapenda kuongea ongea na simu
Sawa tu, kwasababu kuna watu kuchati mpaka apate muda mzuri, mimi mwenyewe kuchati sipendi napenda tuongee tumalizane, ila kutumia nusu saa mnarushiana SMS inakunyima kuwa kuwa kwenye platforms zingine.Wadau ushakutana na mwanamke yaani ukituma message lazima apige na usipokea ni mzozo , mnachati message mbili ya tatu anapiga .. hii inakera saana
Hawa huwa una deal nao vip maana nimeshaongea nimechoka