Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,242
😆😆😆😂😂🙌Kumbe walala hoi tuna shida huko kwa washuaDah!! Dagaa, usinikumbushe. 🤣😂
Nacheka kama mazuri ila inasikitisha.
Siku moja katika harakati zangu, nilikuwa naenda nje ya mji kidogo(shamba)
Nikafika center kuchukua mazaga zaga, nikakuta maza mmoja(mshua saana, kuanzia ngozi, na kila kitu) alikuwa na mtoto mdogo,
Wakati naendelea kuchukua zaga zaga pale...
Muuzaji alikuwa anakula ugali dagaa, si ndio yule dogo kuropoka..
"Mama muone huyu anakula chakula cha mbwa"
.. dah! Nilijisikia fedheha as if mimi ndio muuza genge.
Bimkubwa akajidai kumpotezea mtoto ndio kamganda mama yake anamtikisa, mama muone huyu anakula chakula cha mbwa..
Bimkubwa ikabidi aombe radhi pale.
Amini mkuu, huku visiwani wanaopiga hela ni wale wanaonunua wabichi kutoka kwa wavuvi then wanaanika wakikauka wanauza asee wanapiga hela ila ndo uwe na roho mvua ikipiga hupati hata mia wengi hua wanazimia kabisaHii margin ni ndogo sana. Mwenye mtaji wa gunia chini ya 20 kukatika ni kugusa tu.
Dogo ajui kama mtaani watu wanabadilisha tu kama sio ugali dagaa basi ugali fuluNacheka kama mazuri ila inasikitisha.
Siku moja katika harakati zangu, nilikuwa naenda nje ya mji kidogo(shamba)
Nikafika center kuchukua mazaga zaga, nikakuta maza mmoja(mshua saana, kuanzia ngozi, na kila kitu) alikuwa na mtoto mdogo,
Wakati naendelea kuchukua zaga zaga pale...
Muuzaji alikuwa anakula ugali dagaa, si ndio yule dogo kuropoka..
"Mama muone huyu anakula chakula cha mbwa"
.. dah! Nilijisikia fedheha as if mimi ndio muuza genge.
Bimkubwa akajidai kumpotezea mtoto ndio kamganda mama yake anamtikisa, mama muone huyu anakula chakula cha mbwa..
Bimkubwa ikabidi aombe radhi pale.
Bongo kutoboa ni mzikiuwe na roho mvua ikipiga hupati hata mia wengi hua wanazimia kabisa
Bi mkubwa mstaraabu sanaDah!! Dagaa, usinikumbushe. 🤣😂
Nacheka kama mazuri ila inasikitisha.
Siku moja katika harakati zangu, nilikuwa naenda nje ya mji kidogo(shamba)
Nikafika center kuchukua mazaga zaga, nikakuta maza mmoja(mshua saana, kuanzia ngozi, na kila kitu) alikuwa na mtoto mdogo,
Wakati naendelea kuchukua zaga zaga pale...
Muuzaji alikuwa anakula ugali dagaa, si ndio yule dogo kuropoka..
"Mama muone huyu anakula chakula cha mbwa"
.. dah! Nilijisikia fedheha as if mimi ndio muuza genge.
Bimkubwa akajidai kumpotezea mtoto ndio kamganda mama yake anamtikisa, mama muone huyu anakula chakula cha mbwa..
Bimkubwa ikabidi aombe radhi pale.
Familia za kishua mbwa hawali dagaa mzee wanakula fresh meat kutoka buchani na chakula chao special " pedigrees" huyo maza maisha yake ya kawaidaDah!! Dagaa, usinikumbushe. 🤣😂
Nacheka kama mazuri ila inasikitisha.
Siku moja katika harakati zangu, nilikuwa naenda nje ya mji kidogo(shamba)
Nikafika center kuchukua mazaga zaga, nikakuta maza mmoja(mshua saana, kuanzia ngozi, na kila kitu) alikuwa na mtoto mdogo,
Wakati naendelea kuchukua zaga zaga pale...
Muuzaji alikuwa anakula ugali dagaa, si ndio yule dogo kuropoka..
"Mama muone huyu anakula chakula cha mbwa"
.. dah! Nilijisikia fedheha as if mimi ndio muuza genge.
Bimkubwa akajidai kumpotezea mtoto ndio kamganda mama yake anamtikisa, mama muone huyu anakula chakula cha mbwa..
Bimkubwa ikabidi aombe radhi pale.
Kuna jamaa alikua anaaminika na maboss zake wa mikoani wanamtumia hela ananunua dagaa wakavu anawatumia siku moja kaingiwa na tamaa alitumiwa zaidi ya 2m za dagaa si akaona bora anunue wabichi aanike ndio awatume ili apige cha juu asee ilipiga mvua kaka sio poa jamaa akazima peleka dispensary then akatoka basi simu za maboss zake kuhusu mzigo hazikati jamaa alidata walikuja wakamzoa sijui walimpeleka wapi.Bongo kutoboa ni mziki
We acha tu ndugu yangu😂😆😆😆😂😂🙌Kumbe walala hoi tuna shida huko kwa washua
Sawa brazaFamilia za kishua mbwa hawali dagaa mzee wanakula fresh meat kutoka buchani na chakula chao special " pedigrees" huyo maza maisha yake ya kawaida
Kwer mimi wakuambiwa nakula chakula. Cha mbwa kwer😂We acha tu ndugu yangu😂
Dagaa ni wa ziwa victoria, mchanga kuwepo ni waandaaji wanawaanika kwenye sehemu zenye mchanga tu. Hata mwanza (igombe) wanaanikwa sehemu isyo na mchangaDagaa wa Mwanza (wenye mchanga) au wa bukoba (wasio na mchanga)?
Lazima uzimie aiseeeKuna jamaa alikua anaaminika na maboss zake wa mikoani wanamtumia hela ananunua dagaa wakavu anawatumia siku moja kaingiwa na tamaa alitumiwa zaidi ya 2m za dagaa si akaona bora anunue wabichi aanike ndio awatume ili apige cha juu asee ilipiga mvua kaka sio poa jamaa akazima peleka dispensary then akatoka basi simu za maboss zake kuhusu mzigo hazikati jamaa alidata walikuja wakamzoa sijui walimpeleka wapi.
Mbn wakigoma huanikwa ktk mchanga na hawana mchangaDagaa ni wa ziwa victoria, mchanga kuwepo ni waandaaji wanawaanika kwenye sehemu zenye mchanga tu. Hata mwanza (igombe) wanaanikwa sehemu isyo na mchanga