Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,621
bestito usishangae wengine washazoea kufanyiwa , kutafutiwa hadi tonge awekewe mdomoni
hawajui kutafuta ndo mpangoa mizima
Teh kwa hiyo na huyu anaweza kuwa mmoja wapo eeh?? Nauliza tyuuu....
bestito usishangae wengine washazoea kufanyiwa , kutafutiwa hadi tonge awekewe mdomoni
hawajui kutafuta ndo mpangoa mizima
Kuna wanawake bahili sana dunia hii,
Hizi mada hizi zimekuwa nyingi! Hakika liko tatizo mahali!
U can't go against Nature! period
kweli daddy ukijitambua na ukatambua nafasi yako ni ipi utafanya pale kwenye nafasi ya ko na kudumisha familia
cousin mwanamke kua tegemezi haina shida sana
maana letu sie kuzaa kwa uchungu,ila haooo
wa kula kwa jasho kua tegemezi ndio majangaa!
Uliona wapi mwanaume analelewa???? jitekebisheni nyie watu
kwa hiyo hao uliowacopia ndo wanahizo tabia kumbe?
Naomba wajirekebishe mapema maana tushawajua ho kina 'uliona wapi?'