Imekaa vizuri sana hiiSidhani kama Hilo la chama kipya linawezekana, binafsi naamini hakuna maigizo bali ni vita halisi na haijaanza Leo....imeanza Since bwana mkubwa akiwa katibu wa chama.
Wapo waliopoteza uhai wao kisa tu wapo karibu na bwana mkubwa.
Nae ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. Bongo mwanasiasa wa kumwekea dhamana ni Lissu tu. Consistency kwenye misimamo yake angalao unaweza kumwaminiActually huyo ndiye hasa anapaswa kuwa mtetezi wa maslahi ya Tanganyika kwenye hii serikali ya muungano ndiyo logic ya huyu akitoka huku VP atoke kule!!
Askari kufyatua risasi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kujiridhisha mtu anaetaka kumdhibiti anataka kumdhuru. Hata kama kuna order ya kutotoka nje, askari hawezi kuingia tu kwenye kibanda cha kuangakia mpira na kupiga watu risasi. Atawaweka chini ya ulinzi, akijiridhisha hakuna mpango wowote wa hatari ulikua unaendelea hapo atawaamuru waondoke ilo eneo. Kilichotokea MO29 ni moja ya madhara ya huu utaratibu tuliojiwekea kwamba hizi nafasi za chini kwenye majeshi ni kwa ajiri ya wavuta bangi na waliofeli shuleKatika kitu kilifanya idadi kubwa ya watu kufa kwenye yale mauaji yaliyoanza Oct 29 ni pamoja na watu kutokuelewa baadhi ya basics ndogo ndogo za mambo ya kijeshi mfano order ya kutotoka nje.
Nakubaliana na wewe yapo makosa makubwa yaliyofanywa na hawa mapolisi ila kwa upande wa raia wa kawaida nao walikua na uelewa mdogo wa hizi order za kijeshi baada ya kuambiwa tusitoke nje wapo waliokuwa wanaendelea kutoka na wengi walipoteza maisha au kuumia kwa sababu hiyo... mwanzoni ile tume ya mchongo ya chande walipokua wanaruhusu wanahabari warushe live wengi wa wahanga ukiskiliza vizuri utagundua hilo.Askari kufyatua risasi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kujiridhisha mtu anaetaka kumdhibiti anataka kumdhuru. Hata kama kuna order ya kutotoka nje, askari hawezi kuingia tu kwenye kibanda cha kuangakia mpira na kupiga watu risasi. Atawaweka chini ya ulinzi, akijiridhisha hakuna mpango wowote wa hatari ulikua unaendelea hapo atawaamuru waondoke ilo eneo. Kilichotokea MO29 ni moja ya madhara ya huu utaratibu tuliojiwekea kwamba hizi nafasi za chini kwenye majeshi ni kwa ajiri ya wavuta bangi na waliofeli shule
Lissu?? Misimamo?? Consistency?? Hayo ni mahaba yako tu Chief!!Nae ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine. Bongo mwanasiasa wa kumwekea dhamana ni Lissu tu. Consistency kwenye misimamo yake angalao unaweza kumwamini