Watu wengine mnatafuta Kuibiwa kwa nguvu...Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.
Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.
Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.
NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Kwa nini unataka kuaminisha watu kuwa imani yako kuhusu Mungu ndio sahihi kuliko imani ya mtoa mada???.acha hayo mawazo ya watu ambao hawakwenda shule unachomiamini wewe hakina tofauti na anacho kiamini huyo mtoa mada,zote in imani hazina uhalisia wowote so acha kuhalalisha imani yako kuwa ndio sahihi.Mawazo ya kijinga hayo, nguvu ya Mungu shetani hawezi izidi mimi sijawahi ogopa uchawi kwa sababu najua ni kitu kidogo sana mbele ya Mungu
NB.ukiwa na hirizi ni rahisi sana kulipuliwa kuliko asiye nayo
The choice is ur's
Barikiwa sana mkuuKwa nini unataka kuaminisha watu kuwa imani yako kuhusu Mungu ndio sahihi kuliko imani ya mtoa mada???.acha hayo mawazo ya watu ambao hawakwenda shule unachomiamini wewe hakina tofauti na anacho kiamini huyo mtoa mada,zote in imani hazina uhalisia wowote so acha kuhalalisha imani yako kuwa ndio sahihi.
Iman gani za kuuwa watoto na albino hiyo si upuuzi tuu huo wengine wamefunua kaburi huko pugu na kuzini na maiti iliyozikwa eti masharti ya mganga,Kwa nini unataka kuaminisha watu kuwa imani yako kuhusu Mungu ndio sahihi kuliko imani ya mtoa mada???.acha hayo mawazo ya watu ambao hawakwenda shule unachomiamini wewe hakina tofauti na anacho kiamini huyo mtoa mada,zote in imani hazina uhalisia wowote so acha kuhalalisha imani yako kuwa ndio sahihi.
Shida kumbe ipo hapa tena kubwa!Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.
Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.
Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.
NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Kabisa ...Inasikitishana kusoma thread kama hii yaani mtu ana amini ushirikina kiasi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika dawa ya moto ni moto. Usipojitoa kimasomaso watakutoa walimwenguLeo nimethibitisha kuwa dunia ina watu wabaya sana. Usimwone mtu anafanya kitu ukadhani amependa ni wanadamu wanasababisha yote. Hata mchawi kuna siku alikuwa mtu safi ila walimwengu wakamsababishia kuwa mchawi.
Mie nilikuwa mtu mwema sana ila walimwengu wamenifanya kuwa katili siku hizi. Mtoa mada nimekuelewa sana, walimwengu hawana maana ukizubaa wanakuondoa duniani. Jikinge kwa imani yako inavyokutuma dawa ya moto ni moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ktk imani ya kikiristo na kiisilamu wapo wanaofanya mambo ya ajabu na ya hovyo-lakini hatuwezi kuhahararisha kuwa imani hizi ni za kijingaIman gani za kuuwa watoto na albino hiyo si upuuzi tuu huo wengine wamefunua kaburi huko pugu na kuzini na maiti iliyozikwa eti masharti ya mganga,
Hizo imani ni za kijinga Mkuu samahani hakuna neno lingine zaidi ya hilo kazi tuu ya kulipwa mshahara unatafuta waganga ukiwa na Kampuni yako na imesimama si utaua watoto narudia tena ni imani za kijinga tuu hizo hata Mali zitokanazo na hizo Mali watu wenyewe wanakua hawana Uhuru nazo kabisa mtu tajiri anaishi maisha ya kimasikini si bora angekua tuu masikini sasa...Hata ktk imani ya kikiristo na kiisilamu wapo wanaofanya mambo ya ajabu na ya hovyo-lakini hatuwezi kuhahararisha kuwa imani hizi ni za kijinga
Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.
Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.
Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.
NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Tena kuna wakurugenzi,mainjinia,WanasiasaKwa nini unataka kuaminisha watu kuwa imani yako kuhusu Mungu ndio sahihi kuliko imani ya mtoa mada???.acha hayo mawazo ya watu ambao hawakwenda shule unachomiamini wewe hakina tofauti na anacho kiamini huyo mtoa mada,zote in imani hazina uhalisia wowote so acha kuhalalisha imani yako kuwa ndio sahihi.
Huyo unaye fikiri hapigi mashuti kumbe ndiyo muendaji mzuri kwa waganga ngoja siku uje umgumie ndiyo utaelewa!Hizo imani ni za kijinga Mkuu samahani hakuna neno lingine zaidi ya hilo kazi tuu ya kulipwa mshahara unatafuta waganga ukiwa na Kampuni yako na imesimama si utaua watoto narudia tena ni imani za kijinga tuu hizo hata Mali zitokanazo na hizo Mali watu wenyewe wanakua hawana Uhuru nazo kabisa mtu tajiri anaishi maisha ya kimasikini si bora angekua tuu masikini sasa...