Nassib nyika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2016 Posts 962 Reaction score 471 Feb 6, 2018 #1 Natangulizaa shukuran wakuu,naomba kujuzwa kiundani Kwa yeyote mwenye kufahamu,je Kwa mwanafunzi hili limekaaje?maana mwenyekit wa mtaa wetu anachagua watu wakalinde usiku ingali Mimi no mwanafunzi,je kisheria natakiwa kulinda?
Natangulizaa shukuran wakuu,naomba kujuzwa kiundani Kwa yeyote mwenye kufahamu,je Kwa mwanafunzi hili limekaaje?maana mwenyekit wa mtaa wetu anachagua watu wakalinde usiku ingali Mimi no mwanafunzi,je kisheria natakiwa kulinda?