Ulinzi shirikishi wanawajibikaje panapotokea wizi eneo la ulinzi?

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Habari,hawajamaa wako sharp sana kudai pesa za ulinzi shirikishi lakini mtu unapibiwa hawaonekani na wanakuwa wakali mimi duka langu limevujwa nawao kila mwezi wanachukua hela ya ulinzi sasa nani atawajibika katika hili?
 
Mkuu Ni mkoa gani huo? Kama ni dar siro alipiga marufuku hao ulinzi shirikishi watiza fedha isipokuwa sungu sungu fresh.
 
Dar mzee na receipt nimekuwanikipewa inanembo ya halmashauri ubungo,nataka niwashitaki kwa uzembe
 
Hawa washenzi sana,

Mimi nimegoma kuwapa hiyo hela nataka wanipeleke polisi ndo tujue inakuwaje.
 
Dar mzee na receipt nimekuwanikipewa inanembo ya halmashauri ubungo,nataka niwashitaki kwa uzembe
Mkuu usiliache lipite hilo kawastaki, tena mstaki mwenyekiti wa mtaa kama muhusika mkuu. Namaanisha ulinzi shirikishi upo chini ya serikali ya mtaa na kama risiti unapewa na wao ndo utatumia kama evidence of service provided to you by them. Goodluck mkuu
 
Back
Top Bottom