MKWANO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 224
- 157
Kikwazo ni utawala wa kutukuzwa, Nimeshuhudia kwa macho yangu,Afisa wa Serikali (japo kwa umri mdogo) akitimuliwa ofisi ya Police mkoa na Staff (mwanamke) kama kibaka, huku kauli mbiu ya Jeshi la Polisi Tanzania ikiwa ni Ulinzi Shirikishi, hoja ni; Kama Afisa wa serikali, mwenye uelewa mpana na busara anafukuzwa kama mbwa, itakuwaje kwa watu wa chini?
Kisa na mkasa ni kwamba huyu afisa alikuwa na shida binafsi kwa kiongozi ngazi ya chini kwenye hiyo ofisi,na ni mtu anayejulikana hapo ofisini isipokuwa kwa huyo staff tu, pia ni mtu mwenye heshima zake na anashirikiana na viongozi kwenye hiyo ofisi kwa mda mrefu lakini leo anafukuzwa kama mtu mharifu? huu ni ulevi wa madaraka au? Huyu staff ataharibu Cv ya Kamanda Mkoa na kama ndivo ilivyopangwa basi Ulinzi shirikishi itakuwa ndoto.