Ulinzi mwingine ni kero sana

Wakuu naombeni kuuliza,hivi mbona hawa jamaa (walinzi wa mkulu) kama huwa hawaaminiani vile,yaanubunaweza kuta mkulu anazifata kamera kwenye watu wengi jamaa huwa wanapigana vikumbo wenyewe kwa wenyewe kumzumguka mkulu.?
Pia ukitazama picha hiyo licha ya wengine kuweka concentration huko nyuma kumlinda mkulu ila jamaa mwingine hapo kageuka kuwacheki guards wa nyuma.
Iko vipi hii?
 
Afadhali leo nimejifunza kitu kipya. Kumbe huyu jamaa nae huwa anasali!!!!! duuuuuh aisee dunia ina mambo. Lakini kanitia moyo kuwa nami naweza kwenda mbinguni kwakuwa najiona mtakatifu nikijilinganisha na hichi chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…