Sijawahi kuona hali hii simba na yanga zikicheza, ni kama kuna shughuli za kisiasa.
Vifaa hizi huwa vinapatikana wakati wa uchaguzi View attachment 474344
TFF inasema kuna askari zaidi ya 350 na camera zaidi ya 40 kusimamia ulinzi
Wanalinda kadi na bendera zisichomwe? Kwa nini waliwasearch mfukoni? Hata wasipovichoma physically je mioyoni? Solution ñi kutenda haki tu na kuacha ubabe usio na maana yoyote ile
Sijawahi kuona hali hii simba na yanga zikicheza, ni kama kuna shughuli za kisiasa.
Vifaa hizi huwa vinapatikana wakati wa uchaguzi View attachment 474344
TFF inasema kuna askari zaidi ya 350 na camera zaidi ya 40 kusimamia ulinzi
Alokwambia hakuna siasa kwenye mpira ni nani? Kwa vile mmewazuia kufanya mikutano halali ya dharura watafanya lolote kwani tayari ni sugu. Refer Sarafina ya Soda Afrika