Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

swadaktaaa, wengi hawaamini wanapo ambiwa ukweli. ukiwadanganya ndio wanaamini
 
Mwanamke anafikiaje hatua ya kukunasa kibao mwanaume?? Loh
yote maisha tu, sie wengine hatuwezi kupigana na wanawake. ni udhaifu wa level ya chini sana kwa mwanamme kupigana na mwanamke, especially mwanamke anaempenda.
 
Don't Chase women hearts but you better chase papers.
[emoji1] [emoji4] [emoji383]
you chase papers so as to get women,
mie nipo simple tu, huwa naenda moja kwa moja kwenye point.
 
yote maisha tu, sie wengine hatuwezi kupigana na wanawake. ni udhaifu wa level ya chini sana kwa mwanamme kupigana na mwanamke, especially mwanamke anaempenda.
Sjasema umpige, nasemea uanaume wako, stand as a man
 
Aiseeeee. Pole sana mkuu. Hawa viumbe ni vizuri tukaishi Leo kwa akili sana.
 
Kwanini usiende kwa anaekuelewa sana?


Natamani sana ingekuwa hivyo,

Tatizo moja alilonalo sasa huyu kwanza kabisa hasikilizi maelekezo kutoka kwangu hata kidogo

Yaani anacho amini yeye ndo anataka kiwe vile yaani naweza kaa nae tukaongea mambo mengi sana anakuwa kama kakuelewa ila mkiachana na yale mambo anayaacha

Sasa mara nyingi mambo yakimharibikia anarudi kunismulia sio siri ile kitu inanitia hasira sana yaani sana

Kingine sasa mimi ni kama sex addict hivi yaani napenda ngono na nikikutana na mtu walau nitembeze nne ndo kidogo najisikia kama nimecheza mpira

Ila huyu mwenzangu hata kumaliza moja tu ile ni shughuli

Yaani anabana miguu mpaka mvutane weeee mrudi huku muende kule sio mzoefu coz mm ndo nilisafisha njia ila ni almost mwaka na nusu hazoei

Kwa staili aiseeee siwezi kuvumilia
 
Siyo mambo yote unaweza kutumia nguvu kutatua tatizo. Hekima na busara ni njia nzuri sana. Km nayy angetumia nguvu unafikiri angekuwa wapi? Mtoa uzi ametumia busara sana.
"Karma is a bitch''
 
Hahahhaa halaf akatulia
Kutulia haimainiishi alishindwa kumpa vitasa. Nampongeza sana mtoa uzi sbb unaweza ukampiga ukamvunja hata mbavu ambapo baadae ingemgharimu hata kufungwa jela na faini pia. Baada ya kumpiga akaenda huyo mwanamke alipata nini? Malipo ni hapa hapa duniani. Ktk maisha yako yote epuka ugomvi sbb unaweza kupiga ukaua ukafungwa jela maisha au kunyongwa sasa hapo utakuwa umepata faida gani?
 
asante mkuu, umemaliza mjadala. wengi humu wanadhani nduvu ndio msuluhishi wa kila mzozo. muda mwingine subira ndio the only solution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…