Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

Nipe namba yake chifu..
Nipambane na hali yang
 
Akakuzaba kibao? Huko alikotegemea atapata pumziko kumemtenda sivo ndio mana amerudi, kwa kua umemsamehe sawa lakini me ningekua ni wewe ningemsamehe huku namtakia kila heri kimoyomoyo maisha yaende tu,
hapa jamaa amekuwa kama faliing cushion.
 
wa dizaini hii huwa wakirudi kwangu nawala tigo tu ili kufidia machungu aliyonifanyia
 
Don't Chase women hearts but you better chase papers.
[emoji1] [emoji4] [emoji383]
 
At akakizaba kibao paaaaaa!!!!
 
Yaani alikuzaba vibao ukaanza kulia na hukumfanya chochote!!... aisee, hakika hatopata mwanaume kama wewe tena maishani na ndio maana karudi kwako, usikute uko alipoenda kakutana na mwanaume wa Tarime akajua yupo kama wewe akachezea vitasa
Hahaha
 
Mzee kiporo uliweka kwenye friji kirudi tena ila angalia tumbo lisije kukuuma
 
Huyu jamaa fix sana... bado tena anatunywesha chai ya mpenzi wake anakojoa kitandani...

Mpenzi wangu anajikojelea kitandani
Nafikiri wewe ni mzoefu sana hapa JF na ni moja ya watu walioona thread nyingi sana na mabadiliko ya aina mbalimbali kwa miaka yote uliyokuwepo kama ya kiuandishi,misemo,matusi na changamoto nyingine

Kwa uzoefu wako tayari najua unafahamu kuna watu wengine wanaleta mada ambazo either zimewakuta au wamezisikia hii yote ni kwa sababu tunatumia id fake

Kikubwa ni kuleta kisa ambacho watu wanaweza kuchangia full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…