Ulimwengu wa watu weusi

Ulimwengu wa watu weusi

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
129
Huu ni ujumbe mweusi kutoka nchi ya watu weusi<br />
844b19b63e230a06f327b30000c362a3.jpg
<br />Je wajiona kiongozi au mfuasi,mcha dini au mpagani,mpenda amani au mleta machafuko,mpenda watu au mchukia watu,tajiri au maskini,mshindi au mshindwa,mpambanaji au mtegemea cha nduguye,mbunifu au wakuchukua vilivyoandaliwa,msomi au mbumbumbu,muoaji au mpenda papuchi<br />Haijalishi jamii inakuonaje wewe wajionaje.Tunapoanza mwezi huu mpya piga kazi kwa bidii hata kama hukufanikiwa miezi yote kumi iliyopita huu mmoja unatosha sana kukusukuma hatua moja mbelee..JIAMINI<br />Wako mtukufu Amiri jeshi mkuu wa mawe yote duniani ila sio walilokataa waashi jiwe jeusi (blackstone)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom