Grace glory JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 401 Reaction score 551 Dec 19, 2023 #61 kipara20 said: Umekaza fuvu Click to expand... Acha mbwembwe thibitishia watu bn
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,925 Reaction score 15,700 Mar 5, 2024 #62 404 Pages said: Ulimwengu usioonekana upo wapi ? Click to expand... Umeambiwa ni ulimwengu usioonekana ila bado unakaza fuvu akuonyeshe ulipo
404 Pages said: Ulimwengu usioonekana upo wapi ? Click to expand... Umeambiwa ni ulimwengu usioonekana ila bado unakaza fuvu akuonyeshe ulipo
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Mar 5, 2024 #63 Allency said: Umeambiwa ni ulimwengu usioonekana ila bado unakaza fuvu akuonyeshe ulipo Click to expand... Tunafahamu vipi kama upo?
Allency said: Umeambiwa ni ulimwengu usioonekana ila bado unakaza fuvu akuonyeshe ulipo Click to expand... Tunafahamu vipi kama upo?
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,925 Reaction score 15,700 Mar 5, 2024 #64 100 others said: Tunafahamu vipi kama upo? Click to expand... Hilo ni suala la kiimani, huwezi kuuona kwa macho haya ya nyama, sasa wewe unataka akuonyeshe kwa macho yako ya nyama. Hapo ni kuamini au kutoamini basi
100 others said: Tunafahamu vipi kama upo? Click to expand... Hilo ni suala la kiimani, huwezi kuuona kwa macho haya ya nyama, sasa wewe unataka akuonyeshe kwa macho yako ya nyama. Hapo ni kuamini au kutoamini basi
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Mar 12, 2024 #65 Ulimwengu wa Roho ni mzuri... Unaona mengi yanayokuja, na yaliyopo. Hapa kwa wenye Imani na YESU ndio huona na sio wote... Isipokuwa wale waliochaguliwa kwa kusudi Fulani. Mimi ni mmoja wao ambao naona, naona vingi sana mpaka kitaifa na kimataifa.
Ulimwengu wa Roho ni mzuri... Unaona mengi yanayokuja, na yaliyopo. Hapa kwa wenye Imani na YESU ndio huona na sio wote... Isipokuwa wale waliochaguliwa kwa kusudi Fulani. Mimi ni mmoja wao ambao naona, naona vingi sana mpaka kitaifa na kimataifa.
Man Jau JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 538 Reaction score 825 Mar 12, 2024 Thread starter #66 Donatila said: Ulimwengu wa Roho ni mzuri... Unaona mengi yanayokuja, na yaliyopo. Hapa kwa wenye Imani na YESU ndio huona na sio wote... Isipokuwa wale waliochaguliwa kwa kusudi Fulani. Mimi ni mmoja wao ambao naona, naona vingi sana mpaka kitaifa na kimataifa. Click to expand... Natamani kukuuliza swali lakini huenda likawa la kipuuzi..kuhusu jiji la dar kuangamia..mwezi wa tano
Donatila said: Ulimwengu wa Roho ni mzuri... Unaona mengi yanayokuja, na yaliyopo. Hapa kwa wenye Imani na YESU ndio huona na sio wote... Isipokuwa wale waliochaguliwa kwa kusudi Fulani. Mimi ni mmoja wao ambao naona, naona vingi sana mpaka kitaifa na kimataifa. Click to expand... Natamani kukuuliza swali lakini huenda likawa la kipuuzi..kuhusu jiji la dar kuangamia..mwezi wa tano