Nzuri, nimeipenda. Hapo ni Mungu alikua afanya njia bila ya wewe kujuaMimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni.
Huyo kijana Akawa analia kuwa anaenda interview kule kule Mimi nlikuwa naenda kufanya interview hana nauli ingine nikambwambia usijali na mimi naenda nitakulipia. Kweli ikaja UDA tukapanda nikalipa
Tukafika posta tukashuka akasema nisubiri nakuja Toa photocopy za vyeti nipe nikatoa nikampa sikujali sababu muda wa interview ulikuwa bado sana na japo simjui sikujali sababu hakuchukua vyeti original
Baada ya muda akaja na mtu mzima pale nilikuwa akasema twende pembeni akaniambia maswali yote yatakayoulizwa interview na majibu
Kuingia nikamkuta nikajikausha kama simjui maswali yote nikakuta yaleyale nikayajibu vilevile nikapata kazi kumbe alikuwa mjomba wake
Hadi leo yeye simhesabu kama best friend bali ndugu
Very deep hahha nimekuelewa mkuu,hii i akuaga ni level ambayo mnaweza hata kua na lugha yenu.Nna Kizibo mmoja huyo tumekua kama ndugu kuna muda tunaeza ongea unachokisikia sio tunachomaanisha
Aisee Mungu anasaidia watu sana mkuu.Mimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni.
Huyo kijana Akawa analia kuwa anaenda interview kule kule Mimi nlikuwa naenda kufanya interview hana nauli ingine nikambwambia usijali na mimi naenda nitakulipia. Kweli ikaja UDA tukapanda nikalipa
Tukafika posta tukashuka akasema nisubiri nakuja Toa photocopy za vyeti nipe nikatoa nikampa sikujali sababu muda wa interview ulikuwa bado sana na japo simjui sikujali sababu hakuchukua vyeti original
Baada ya muda akaja na mtu mzima pale nilikuwa akasema twende pembeni akaniambia maswali yote yatakayoulizwa interview na majibu
Kuingia nikamkuta nikajikausha kama simjui maswali yote nikakuta yaleyale nikayajibu vilevile nikapata kazi kumbe alikuwa mjomba wake
Hadi leo yeye simhesabu kama best friend bali ndugu
Ni kheri kutokuwa na best friend kuliko kupata asiye sahihi maana ana uwezo wa kukumaliza ndani ya dakika chache tu.Sinaga best friend..na sihitaji.
Kweli...huyo best furendi wa Aina yakeTokea tunasoma vidudu.....nahisi wazazi walichangia pia....tulikuwa watundu sana darasani....
Tukasoma wote shule ya msingi, sekondari tulichanguliwa tofauti...nikachukua uhamisho kumfuata....tukapotezana kipindi tuko chuoni(kila mtu alienda nchi tofauti).
Tukaja kukutana tena kwenye semina za kikazi....nikamuunganishia kwa kaka yangu...wameoana....sasa si rafiki tu...ni ndugu rafiki.
Mataga Kama kawa kubebwaMimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni.
Huyo kijana Akawa analia kuwa anaenda interview kule kule Mimi nlikuwa naenda kufanya interview hana nauli ingine nikambwambia usijali na mimi naenda nitakulipia. Kweli ikaja UDA tukapanda nikalipa
Tukafika posta tukashuka akasema nisubiri nakuja Toa photocopy za vyeti nipe nikatoa nikampa sikujali sababu muda wa interview ulikuwa bado sana na japo simjui sikujali sababu hakuchukua vyeti original
Baada ya muda akaja na mtu mzima pale nilikuwa akasema twende pembeni akaniambia maswali yote yatakayoulizwa interview na majibu
Kuingia nikamkuta nikajikausha kama simjui maswali yote nikakuta yaleyale nikayajibu vilevile nikapata kazi kumbe alikuwa mjomba wake
Hadi leo yeye simhesabu kama best friend bali ndugu
Si ndoivo kuvumiliana kkKúna jamaa ni mshkaji sana yani, close sana yani. Mambo yake mengi tu tena very personal lazima aniambie. Shida ipo kwenye interests, kuna mambo I just don't see us relating, yaani unaweza mwambia kitu but he wouldn't relate at all....
...I keep him coz I also have my flaws, najua nae kuna yangu mengi tu anayavumilia.
Em tuambie sasa kwa experience kipi kinauma?Nimekua na best friend tumedumu kwa miaka 5 na tumefanya mambo mengi pamoja na tulikua tunafanya kazi moja ila nilipopata kazi sehem tofauti nzuti zaidi amebadilika ni kama ananikataa ivi na mimi nimempotezea . Sihitaji kuskia kitu inaitwa best friend tu. Niwe tu na watu tunafaamiana ila sio best friend wa kisoro
Kweli mkuuSi ndoivo kuvumiliana kk
Tokea tunasoma vidudu.....nahisi wazazi walichangia pia....tulikuwa watundu sana darasani....
Tukasoma wote shule ya msingi, sekondari tulichanguliwa tofauti...nikachukua uhamisho kumfuata....tukapotezana kipindi tuko chuoni(kila mtu alienda nchi tofauti).
Tukaja kukutana tena kwenye semina za kikazi....nikamuunganishia kwa kaka yangu...wameoana....sasa si rafiki tu...ni ndugu rafiki.
Em tuambie sasa kwa experience kipi kinauma?
Mapenzi au Urafiki
Rafiki wa karibu sanaBest friend ndio nini....?
Sinaga best friend..na sihitaji.