Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Best friend unamtengeneza wewe mwenyewe...
Sinaga best friend..na sihitaji.
Mnaelewan kwenye mambo mengiMuwe na chemistry ndo nn ??
Unahitaji rafiki,Sinaga best friend..na sihitaji.
😀😀Unahitaji rafiki,
Omba mungu akupe utafurahia sana,
Raha ya urafiki inaweza kupita mahusiano, kugombana kunaweza kuepo au kusiwepo kabisa,
Rafiki wa kweli anakujag automatically, utashanga tu mnabond haijalishi jinsia.
Utapata cha muhimu usiwaweke wale watu wanaokua really kwako mbali.😀😀
Na uzee huu sidhani Kama nitapata rafiki..Mungu aingilie kati
Sawa .. ahsanteUtapata cha muhimu usiwaweke wale watu wanaokua really kwako mbali.
[emoji3][emoji3]
Na uzee huu sidhani Kama nitapata rafiki..Mungu aingilie kati
InterestingMimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni...
Mimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni...
Sijui nikojee...
Sina best friend, na sioni kama kuna kilichopungua
Aisee
Sijawai kuwa na best friend ila napenda kama niwe na best friend! Nakuaga tu na marafiki ambao tunaunganishwa na masomo, kazi, tukio fulani.
Actually mm n mtu wa kivyangu vyangu napenda kufanya vitu vyangu mwenyewe ,n mgumu kumshirikisha mtu mambo yang na nina trust issues!!
Lakin nakuaga na marafiki tunaoiva baada ya muda nikigundua mtu anatabia fulan ambayo siipendi naepukana nae? So imenifanya nisiwe na rafiki wa kudum au best friend Best friend n mtu au rafiki yako
Yaani ni mtu ambae kwako anakua zaidi ya ndugu mnaendana tabia na mapendeleo na kusaidia unamfaham vizuri na yeye anakufaham vizuri.
- wa all season
- hamuunganishi na tukio
- hamtenganishwi na umbali au kazi au fan
Actually hamfichani kitu!!
Nasikiaga watu wanabest friend mi sijawai pata wala kumuona mtu wa hivo kwangu!!
We ulimpataje best friend?
NB:syo mpenzi wala ndugu