Ulimkomeshaje alipokusaliti?

Huyu mtoto atakua wa kishua sana,wa kiswahili hiyo laki 6 angeinya wapi?,au zilikua zinatoka kwa mwizi wako akaambiwa baba anaumwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini laki sita si ulimpa mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia yake nayo ilikutenda? Mbona wataka uwaumize wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nlimkutia demu wang niliyekua nampenda sana(huyu dem ni mtamu nouma na anajua namna ya kufanya tukiwa kwenye mgegedo, nlimkutia akiwa njiani na mjamaa mmoja wanaenda kugegedana(hili nililijua baada ya kuwafatilitia nyumanyuma na kuona wanaingia gest) baada ya kuona wanaingia gest nikawa na pupa sana nikavamia ghafla, kumbe dem aliniona akanikimbia fasta naingia room namkuta mjamaa peke yake

NIFUPISHE STORI
Baada ya hilo fumanizi nikampigia simu yule dem akanambia yupo nyumban kwao. Basi mi na yule mjamaa tukaondoka pale gest(sikutaka kumuacha jamaa pale mana dem asije akarudi wakafanya ushenzi wao)

Usiku ule nikampigia yule dem aje gheto(nlipanga nimuache uck ule) dem akaja akaniomba msamaha kwa jambo lililotokea jioni ile baada(lakini baada ya kumbana sana) baada ya msamaha tukapiga show moja takatifu sana adi saa8 usiku ndo nikampiga chini rasmi nikamuambia kuanzia saa hii(saa8 usiku) tusijuane na nikamfukuza maghetoni kwangu
Nakumbuka dem alilia sana lakin sikutaka kumsikiliza, basi akanuomba alale kwangu adi asubuhi ili aende kwao napo nikakataa
Demu alikua anaogopa kwenda kwao usiku ule kwakua ukitaka kwenda kwao kuna njia mbili tu. 1. Upite bonde moja kuna pori flani iviii linatisha au 2. Upite barabara kubwa lakin inapitia makaburini
Jinsi nlivokua mkatili na hasira nlikataa hata kumsindikiza basi demu hakua na namna nyingine zaid ya kuondoka
Nikikumbuka hili tukio hua naumia roho na kumuonea huruma
Demu alirudi kwao vzuri bila kudhurika kwa namna yoyote ile
Hivi ndivyo nlivyomkomesha(kumuacha na kumfukuza gheto saa 8 usiku) baada ya kutaka kunisaliti
 
Huo si ubinadamu hata kama alitaka kukusaliti angepatwa na jambo lolote baya hio guilt ingekutafuna maisha yako yote mpaka unaingia kaburini...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa zngne uwe unatumia ubinaadam...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa zngne uwe unatumia ubinaadam...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye demu ndo alikuwa na ubinadam?? Abaekusaliti ndo anatumia ubinadam?? Unajua madhara ya kusalitiwa??

1 Kuna kukuletea magonjwa, huo Ni ubinadam??

2 Kuna kukulia njama na lijamaa kukudhuru, huo ndo ubinadam??

3 Kuna kukulia njama za kukufilisi na lijamaa, huo ndo ubinadam??


Usiwe unawaza kwa kutumia matako

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all angesikia kesho yake dem amebakwa na kuuwawa angejisikiaje? Putting someones life at risk...
Na inaonekana mkey unakuwasha ndo maana huna ubinaadam...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinisaliti na kupata mimba then akaolewa baadae akaanza kuniomba msamaha turudiane nikamuambia kama anataka turudiane aachane na jamaa na kweli akaachana nae by that time nilikua mbali mkoa mwingine baada ya miezi 6.

Nikarudi na kumkuta yupo kwao tu ameshaachana na bwana ake, nikafanya counter attack hata sikumgonga nikamuambia ushanisaliti, ukazaa na kuolewa siwezi kua na wewe rudi kwa mumeo bahati mbaya mume wake alikua ashavuta chombo nyingine kaweka ndani.
Now yupo yupo tu kazalishwa mtoto mwingne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kwa hisia sana mkuu dahh.
 
Nambari tatu, she is here hii Slayqueen! Naichora tu, hainujui kuwa nimeshafumbukaa kwa akili. She took that advantage of trusting her for granted....yure yuko interested kumufahamu hii maraya ya humu aje Inbox au nenda kwa Thread yangu ile jinsi Hawara alivyonifilisi
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…