Ulimkomeshaje alipokusaliti?

Ulimkomeshaje alipokusaliti?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,463
2014 alinicheat mrembo nilompnda sana.
kimbembe kilianza after kuishi mbali(yeye yupo chuo mi job), usiku1 nilipiga simu hapokei nilihisi kuchanganyikiwa then nikapga kwa room mate wake akanambia katoka, nikampeleleza akanambia yupo kwa mtu wake, dah! moyo uliripuka nikamwambia asimwambia ka nimemtafta.

asubuh akanitxt "sorry dear nilipitiwa usingizi" nikamwambia taarifa zako ninazo umenicheat, akakataa kataa then akaniomba samahan eti alizidiwa genye, nikakubali kuwa mjinga ili nije mkomesha.

ile siku nzima sikupokea sim yake then nikaweka magic voice, jion akapga nikamwambia mwenye sim kalazwa alipata mshtuko wa moyo, akiwa sawa utazungumza nae.

asubuhi akapga nikaitoa magic voic nikaongea nae akaniomba samahani huku akijuta sana, then akanambia atagharamia matibabu na huduma zote mpaka nipone..
alitumia zaidi ya laki sita kunihudumia after hapo nikamwambia tuachane coz ulitaka niua, alilia sana bt ndo hvo tena nikamwacha kibish japo sikumwambie nilichomfanyia

je wewe ulimkomeshaje alipocheat?
 
Siku moja nilipewa story zake kuwa anani'cheat,,nikachukua Pikipiki nikampakiza tukaelekea kwenye jumuiya maana Baba ake na Mama ake walienda kusali kule,,ile tunafika tu namshusha wanadhani labda nimemleta ajumuike nao kwenye kusanyiko lile,si nikaanza kumla mate uku namtomasa dodo zake,,alinisukuma akaanza kulia nikapanda pikipiki yangu nikaamsha.
 
Duu we mkatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa una roho ngumu
 
As for me haha I will hit her at the right time and place! She will pay for my tears! I gave her everything! Guys I mean everything, still she kept on cheating... I know she will read here! Dear, at the right time I will get back to you! I will be laughing while you're crying with your family. Thanks

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Nilivyojua nilivyambia akaniomba msamaha nikwambia poa nimekusamehe

Nikamtoa out siku moja tukala tukanywa nikachukua lodge karibu tukaingia ndani nikaanza touch za hapa na pale nikamvua nguo akawa mtupu nikainuka kitandani nikamwambia

"Hii qumaa ndo unayoringia unayoitembeza kwanza unanuka qumaa kama n'gonda nikamtemea mate kwenye k puuh unanitia kichefuchefu nikamwambia vaa nenda kwenu kwanza nishakugonga sana huna mvuto "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nilipewa story zake kuwa anani'cheat,,nikachukua Pikipiki nikampakiza tukaelekea kwenye jumuiya maana Baba ake na Mama ake walienda kusali kule,,ile tunafika tu namshusha wanadhani labda nimemleta ajumuike nao kwenye kusanyiko lile,si nikaanza kumla mate uku namtomasa dodo zake,,alinisukuma akaanza kulia nikapanda pikipiki yangu nikaamsha.

5/5
 
Back
Top Bottom