king muller
Senior Member
- Aug 29, 2015
- 104
- 56
Wakuu naomba kujua ulimi wangu unakua na mchubuko nashindwa kuelewa tatizo linakuwa nini.
Naomba kujuzwa
Naomba kujuzwa
Dawa gani inafaa mkuuUtakuwa na fungus
Tafuta hydrogen peroxide mouth wash hope itakusaidia ni bei ya kawaida sanaWakuu naomba kujua ulimi wangu unakua na mchubuko nashindwa kuelewa tatizo linakuwa nini.
Naomba kujuzwa
Mkuu hiyo itakuwa ni Fungus ya kwenye ulimi nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.Wakuu naomba kujua ulimi wangu unakua na mchubuko nashindwa kuelewa tatizo linakuwa nini.
Naomba kujuzwa
1.HULI MBOGA ZA MAJANI ZA KUTOSHAWakuu naomba kujua ulimi wangu unakua na mchubuko nashindwa kuelewa tatizo linakuwa nini.
Naomba kujuzwa