KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Money in the bank
(In makavaka sound)
Kipenziiiii miss you my love[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kati ya nan na nanTutegemee ligi hapa.
Namimi nipe michapona nani
alikua anaulizia njia nzr isiyokua na madhara ya kupiga puchu sasa unafkili huyo atataka mwanamkeNamimi nipe michapo
Mwanamke Ukiona mwanaume anakuomba penzi kila akutafutapo ujue anakuona kama chombo cha starehe
Hata ww unapata starehe Acha ujingaMwanamke Ukiona mwanaume anakuomba penzi kila akutafutapo ujue anakuona kama chombo cha starehe
Na ww km humpi hela mpk akuombe jua humpendi...Ukiona mschana anakuomba hella kila akutaftapo jua hakupendi
nimecheka sana ujueWe kama zipo mpe tuu yaani mpe mpaka akupende kiukweli. Kama huna sasa, ndo utajua kuwa alikuwa anaigiza kukupenda