Aris Saolanica
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 124
- 84
Kiuweli nitoe pole nyingi kwa Ndugu Jamaa na Marafiki kwa kupoteza Wadogo zetu na Watoto wetu hawa. Ni wazi kwamba umekuwa msiba uliogusa taifa letu kwa ujumla bila kuangalia dini wala tofauti zetu za kisiasa. lakini jana tu tuliwaaga wapendwa wetu pale uwanja wa Shekhe Amri Abeid Arusha.
Lema kama mwanasiasa mzoefu ni wazi amejizalilisha mno kwa kauli yake ya kusema kwamba Rc wa Arusha amembagua kwenye utoaji wa salamu za rambirambi, hii ni aibu ya wazi kwa ndugu yetu Lema. Badala ya kuwalilia ndugu zetu yeye analilia nafasi ya kupewa kuongea, ni dhahiri kabisa huu ni ulimbukeni wa kiwango cha Phd yenye ufaulu wa First class. Nimshukuru sana Rc kwa kumtoa ulimbukeni huyu mtu anayejiita mwanasiasa shujaa wakati ni uchwaraaaa tuuu