Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,007
- 4,080
Nianze kwa kutoa salam wana jf
Nianze kumshukuru mwenyezi mungu kwa kila jambo,pia nitoe shukrani kwa wazalendo wa nchi ambao wapo kwa maslahi ya taifa na sio vingine.
Awali ya yote naomba niwajuzeni namna ulimbukeni unavyotafuna vijana hususani wanaojiita wanamabadiliko na wafia nchi.
Jiulize yafwatayo mjue mnakwenda wapi na mpo wapi:
-Nani ni msafi ndani ya chadema?
Ni mbowe? Hapana... ni lowasa ? Hapana.
Nikianza na edward lowassa akuna asiejua namna alivyotumia madaraka yake kujipatia mali nyingi ambazo amejilimbikizia na marafiki zake, nani asiyejua mikataba kuntu ya city water,nani asiejua mashamba aliyopora mikononi mwa masikini, nani asiejua mikataba feki ya richmon? Je ujui ranchi za taifa nani kajimilikisha?
Nawashangaa sana vijana kama akina bensane,na wenzake ambao nawaita limbukeni ,walivyobadilishwa na vijisenti vya huyu mzee na kujitokeza mbele ya umma kumtetetea ,eti mwenye ushaidi ampeleke mahakamani je nani fisadi nchi hii na nyie wapelekeni mahakamani
Ni aibu sana vijana ambao ni nguvu kazi kukaa na kumtetea mtu ambae akuna asiejua ni fisadi
- Nirudi kwa mh mbowe,nani asiejua mbowe ni mlafi wa madaraka yupo wapi zitto kabwe?yupo wapi kitila mkumbo? Jiulizeni sana vijana wenzangu niwapeni angalizo yaliomtokea zitto muda si mrefu yatamkuta lissu,mnyika na salim mwalimu jiulizeni kwa kutumia bongo zenu mtapata majibu,je kwanini awe dr mashiji? Ni aina ya gia iliobadilishiwa hewani.
Je, mnamaana gani kudai demokrasia nchii hiii chama kinaongozwa na mtu mmoja tu ukipingana nae ndio basi umekwisha, jiulize dr slaa yupo wapi nini kilimpata?
Naamini ukijiuliza yote haya utakua umetambua nini nimekilenga .......
Nawasilisha kwenu wanajukwaa
Cc bensanane wenzake
By g massawe